Ninaenjoy sana jinsi ninavyoishi na mwanamke wangu, naona maisha mepesi

Twende kiufupi, sio muandikaji mzuri lakini nahisi nitaeleweka.

Mwanzoni mwa mwaka huu niliweza kubahatika kupata mwanamke mzuri sana, anaejiheshimu, mtoto mweupe hana hata kovu, na kwaninavyomtunza unaweza ukasema muarabu au mtu kutoka huko pande za Mashariki ya mbali.

Sasa huyu binti nimekua nikimuhudumia, hela ya kula, na mahitaji mengine ya kwake maana kwasasa naishi nae kama nimeoa, ule usumbufu wa kuombwa ombwa pesa za matumizi ya nyumbani pamoja na matumizi yake binafsi hua namuweka kwenye wakati mgumu maana ni muoga sana wa kuomba pesa hata kama anashida, ni mtaratibu na mwenye aibu sana.

Sasa mimi kama mwanaume nikaamua ili nisimpe taabu ya kuniomba omba hela kila mara, nimeamua niwe namuwekea shilingi laki 6 kwenye account yake kila mwezi, ili tu asipate taabu ya kuomba omba hela mara kwa mara, namimi hua sijawahi kumuangusha ikifika tuu tarehe za mishahara ya walimu kuanzia tarehe 26 basi hua nampatia laki 6 zake namtumia kwenye account yake, nahio naona imesaidia sana kwani amekua akibana matumizi na kununua baadhi ya vitu vya ndani ambavyo sikuwaza hata kuvinunua.

Kwa jinsi anavyobana matumizi na kununua vitu muhimu napanga kumuongezea niwe nampa laki8 kwa mwezi kama pesa za matumizi ya nyumbani.

Ndugu zangu tuwe tunatoa pesa ya matumizi ya mwezi mzima ili kuepuka usumbufu wa hapa na pale.
Kama kweli,basi NAOMBA USICHIMBE SHIMO ZAID ,UTADUMBUKIA MWENYEWE.usipate wa kukutoa.

Badala ya kukuza upendo,unaitukuza pesa.
 
.
JamiiForums-1804450970.jpg
 
Twende kiufupi, sio muandikaji mzuri lakini nahisi nitaeleweka.

Mwanzoni mwa mwaka huu niliweza kubahatika kupata mwanamke mzuri sana, anaejiheshimu, mtoto mweupe hana hata kovu, na kwaninavyomtunza unaweza ukasema muarabu au mtu kutoka huko pande za Mashariki ya mbali.

Sasa huyu binti nimekua nikimuhudumia, hela ya kula, na mahitaji mengine ya kwake maana kwasasa naishi nae kama nimeoa, ule usumbufu wa kuombwa ombwa pesa za matumizi ya nyumbani pamoja na matumizi yake binafsi hua namuweka kwenye wakati mgumu maana ni muoga sana wa kuomba pesa hata kama anashida, ni mtaratibu na mwenye aibu sana.

Sasa mimi kama mwanaume nikaamua ili nisimpe taabu ya kuniomba omba hela kila mara, nimeamua niwe namuwekea shilingi laki 6 kwenye account yake kila mwezi, ili tu asipate taabu ya kuomba omba hela mara kwa mara, namimi hua sijawahi kumuangusha ikifika tuu tarehe za mishahara ya walimu kuanzia tarehe 26 basi hua nampatia laki 6 zake namtumia kwenye account yake, nahio naona imesaidia sana kwani amekua akibana matumizi na kununua baadhi ya vitu vya ndani ambavyo sikuwaza hata kuvinunua.

Kwa jinsi anavyobana matumizi na kununua vitu muhimu napanga kumuongezea niwe nampa laki8 kwa mwezi kama pesa za matumizi ya nyumbani.

Ndugu zangu tuwe tunatoa pesa ya matumizi ya mwezi mzima ili kuepuka usumbufu wa hapa na pale.
Kumbe Kama inauwezo wa kulaza 800k kwa mwanamke walimu mnalipiwa vizuri alafu mnakuja kulalamika majukwaani kuwa maisha magumu.
 
Labdaaaa Mke wa ndoa tu anafaa matunzo yenye hadhi ya five star kwa kuwa kanizalia na anachokipata toka kwangu ni anahudumia familia, pia usimsahau pia mama yako mzazi, wanaume wengi tunapotea sana eneo hili,
 
Twende kiufupi, sio muandikaji mzuri lakini nahisi nitaeleweka.

Mwanzoni mwa mwaka huu niliweza kubahatika kupata mwanamke mzuri sana, anaejiheshimu, mtoto mweupe hana hata kovu, na kwaninavyomtunza unaweza ukasema muarabu au mtu kutoka huko pande za Mashariki ya mbali.

Sasa huyu binti nimekua nikimuhudumia, hela ya kula, na mahitaji mengine ya kwake maana kwasasa naishi nae kama nimeoa, ule usumbufu wa kuombwa ombwa pesa za matumizi ya nyumbani pamoja na matumizi yake binafsi hua namuweka kwenye wakati mgumu maana ni muoga sana wa kuomba pesa hata kama anashida, ni mtaratibu na mwenye aibu sana.

Sasa mimi kama mwanaume nikaamua ili nisimpe taabu ya kuniomba omba hela kila mara, nimeamua niwe namuwekea shilingi laki 6 kwenye account yake kila mwezi, ili tu asipate taabu ya kuomba omba hela mara kwa mara, namimi hua sijawahi kumuangusha ikifika tuu tarehe za mishahara ya walimu kuanzia tarehe 26 basi hua nampatia laki 6 zake namtumia kwenye account yake, nahio naona imesaidia sana kwani amekua akibana matumizi na kununua baadhi ya vitu vya ndani ambavyo sikuwaza hata kuvinunua.

Kwa jinsi anavyobana matumizi na kununua vitu muhimu napanga kumuongezea niwe nampa laki8 kwa mwezi kama pesa za matumizi ya nyumbani.

Ndugu zangu tuwe tunatoa pesa ya matumizi ya mwezi mzima ili kuepuka usumbufu wa hapa na pale.
Mchumba kama mchumba dakika chache anajeuka zaidi ya kinyonga, na mkiachana utaumia sio kwasababu ulimpenda sana bali matunzo, fanya mambo kwa kiasi ukitaka kujilipua basi muoe kabisa
 
Na bado mpaka akili ziwaruke
 
Mchumba kama mchumba dakika chache anajeuka zaidi ya kinyonga, na mkiachana utaumia sio kwasababu ulimpenda sana bali matunzo, fanya mambo kwa kiasi ukitaka kujilipua basi muoe kabisa
Unaombea abadilike kama kinyonga?
 
Back
Top Bottom