Ninaenjoy sana jinsi ninavyoishi na mwanamke wangu, naona maisha mepesi

Applicant

JF-Expert Member
Feb 12, 2020
1,962
1,746
Twende kiufupi, sio muandikaji mzuri lakini nahisi nitaeleweka.

Mwanzoni mwa mwaka huu niliweza kubahatika kupata mwanamke mzuri sana, anaejiheshimu, mtoto mweupe hana hata kovu, na kwaninavyomtunza unaweza ukasema muarabu au mtu kutoka huko pande za Mashariki ya mbali.

Sasa huyu binti nimekua nikimuhudumia, hela ya kula, na mahitaji mengine ya kwake maana kwasasa naishi nae kama nimeoa, ule usumbufu wa kuombwa ombwa pesa za matumizi ya nyumbani pamoja na matumizi yake binafsi hua namuweka kwenye wakati mgumu maana ni muoga sana wa kuomba pesa hata kama anashida, ni mtaratibu na mwenye aibu sana.

Sasa mimi kama mwanaume nikaamua ili nisimpe taabu ya kuniomba omba hela kila mara, nimeamua niwe namuwekea shilingi laki 6 kwenye account yake kila mwezi, ili tu asipate taabu ya kuomba omba hela mara kwa mara, namimi hua sijawahi kumuangusha ikifika tuu tarehe za mishahara ya walimu kuanzia tarehe 26 basi hua nampatia laki 6 zake namtumia kwenye account yake, nahio naona imesaidia sana kwani amekua akibana matumizi na kununua baadhi ya vitu vya ndani ambavyo sikuwaza hata kuvinunua.

Kwa jinsi anavyobana matumizi na kununua vitu muhimu napanga kumuongezea niwe nampa laki8 kwa mwezi kama pesa za matumizi ya nyumbani.

Ndugu zangu tuwe tunatoa pesa ya matumizi ya mwezi mzima ili kuepuka usumbufu wa hapa na pale.
 
Namsikitikia atajikuta anazalishwa na kuachwa ungekuwa serious ungeshaenda kwao kuchumbia
 
Back
Top Bottom