Ninachowaza ni wasichana na kupiga nyeto! (Naomba msaada wenu)

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,489
79
Anaomba msaada wenu!
**********************
He has a big problem with his studies. He is not able to do well in his exams. He scores less and many times he think about girls, sex and he do musterbate alot. He need your urgent help!
 
Teh teh teh una kazi ndugu, pole sana hilo ni tatizo kubwa sana kwa vijana wengi wenye umri kati ya miaka 18-28, mimi mwenyewe niliwahi kukumbwa na tatizo hili kutokana na kuogopa sana wasichana na hivyo kubaki kuumia tu na kuishia kupiga nyeto. Ushauri: tafuta msichana ambaye atakuwa anakizi mahitaji yako nadhani utaondokana na shida hiyo.
 
Wewe utamtafuta wapi wa kumalizana naye? Wa kununua au?
 
Mchezo wa kujichua utamletea ukosefu wa nguvu za kiume, ajikite kwenye michezo, kwa mfano anaweza kimbia kila asubuhi km 5 hivi atasahau kila kitu.
 
Mkuu, huu mchezo ukishauzoea ni vigumu sana kuuacha kwani una kuwa ni kama kilevi flani hivi, kweli una punguza nguvu za kiume pale unapozidisha kipimo maana kuna watu wengine kwa siku wana piga nyeto hadi mara 5 na kuendelea..

Nyeto ni njia moja wapo nzuri za kijikinga na magonjwa ya zinaa na Ukimwi N'K.
 
Anaomba msaada wenu!
**********************
He has a big problem with his studies. He is not able to do well in his exams. He scores less and many times he think about girls, sex and he do musterbate alot. He need your urgent help!

mwambie jamaa aweke msisitizo kwenye shule zaidi, kuna wadada wengi wanapenda kutoka na vijana wanao score high so akiwa anafanya wonder class atapata tu mdada mmoja wakudumu ambae wataaminiana, watakae ridhishana vya kutosha na hayo mawazo ya wasichana na punyeto yataondoka.
 
Sasa anataka msaada gani, tumtafutie girlfriend au tumsaidie kumfayisha musterbation?
 
Anaomba msaada wenu!

**********************

He has a big problem with his studies. He is not able to do well in his exams. He scores less and many times he think about girls, sex and he do musterbate alot. He need your urgent help!

...addiction hiyo.

...ipo ndani ya uwezo wake kuacha au kuendelea. Kama alivyo mlevi, kwanza ajikubalishe mwenyewe ana tatizo, kisha apunguze na kuacha.

Starehe sio 'kusimamia vidole bafuni 24/7' pekee.
 
Mchezo wa kujichua utamletea ukosefu wa nguvu za kiume, ajikite kwenye michezo, kwa mfano anaweza kimbia kila asubuhi km 5 hivi atasahau kila kitu.

Hivi inapunguza nguvu za kiume au inapunguza hamu kwa wanawake wa real. Mi nadhani ni ya pili na hii ni kutokana na kuwa huoni kuwa unawahitaji sana wakati unaweza kujiridhish mwenyewe, yaani your hand ni rahis zaidi kuliko kwenda kutongoza
 
Inasemekana kuwa ile concentration inayotumika kuvuta hisia kwenye tendo hilo, hufanya mtenda kuona raha ambayo ni balaa, sasa kama unavyosema na urahisi wa tendo basi jamaa akiwa na mwanamke wala haoni chochote na hawezi...
 
OK nadhani inaypongua ni concentration ya wanawake kwani unakuwa reliable sana na hii short lakini sidhani kibaolojia inapunguza uwezo wa kufanya mambo
 
1.JPG
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom