Ninachoshindwa kuelewa ni kwamba Tanzania wanataka madereva wa Tanzania wasipimwe wanapoingia Kenya au hata wakiwa positive waingie?

kwa kenya tatizo sio corona ni muendeezo wa chuki na hujuma zao kwetu kumbuka kauli za yule mwanamuziki jaguar
Na Rwanda, na Zambia? Nilishasema, ukiona unagombana na kila jirani yako, mwenye tatizo sio jirani, ni wewe.
 
Endelea kujiuliza zaidi,ni hivi, watanzania hawana shida na kupimwa.,ispokuwa wakenya wanatumia mwanya huo kutuhujumu kiuchumi ,sasa acha mbwai na iwe.mbwai,hongera zake RC Shigela

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu, ulilosema ni swala lingine na linaweza kujadiliwa. Jibu swali, mnataka madereva waingie Kenya bila kupimwa au hata wakipimwa na kuwa positive waingie tu??

Fahamu pia waliosemwa negative wanaruhusiwa kuingia.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom