Ninachokiona uchaguzi jimbo la Ukonga

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,319
4,089
Mimi sijawahi kupost post ya kisiasa au kuwa katika mabishano hot ya kisiasa lakini kwa ninachokiona Ukonga ni wazi kabisa waitara anashindwa. Kuna project naifanya maeneo yale kipindi hiki ambayo inanilazimisha kujichanganya na watu sana. CCM wasipotuliza vichwa vyao kuwaza jinsi ya kuiba vizuri kura wanaenda kumuaibisha Waitara na wao pia kuaibika.

1. Haka ka Asia Msangi kanafanya kampeni kama za Bona Kalua ambazo ni hatari sana.
2. Kameteka akina mama wenzake sana na ndo wapiga kura kwa sana.
3. Mkurugenzi wa manispaa ya Ilala na Waitara ni maji na moto. Hasa mkikumbuka walichofanyiana kule Kitunda juzi tu huku Waitara akiwa amestaafu. Kwa wenyeji wa Ukonga wanajua hili.
4. Akina Mura ambao ndiyo idadi kubwa ya wakazi wa jimbo hili wanadai amewaaibisha wanataka wampe funzo.

Narudia tena huyu dada atakuwa kiboko ya Waitara kama ilivyokuwa kwa Bona na Mtatiro.

Wekeni katika kumbukumbu huu uzi na siku ya matokeo mtakuja kuniambia.
 
Matokeo yakitoka mtakuja Na hoja ya Katiba Mpya yenye Tume huru ya Uchaguzi

Tumeshawazoea watani zetu wa Kisiasa
 
Mimi sijawahi kupost post ya kisiasa au kuwa katika mabishano hot ya kisiasa lakini kwa ninachokiona Ukonga ni wazi kabisa waitara anashindwa. Kuna project naifanya maeneo yale kipindi hiki ambayo inanilazimisha kujichanganya na watu sana. CCM wasipotuliza vichwa vyao kuwaza jinsi ya kuiba vizuri kura wanaenda kumuaibisha Waitara na wao pia kuaibika.

1. Haka ka Asia Msangi kanafanya kampeni kama za Bona Kalua ambazo ni hatari sana.
2. Kameteka akina mama wenzake sana na ndo wapiga kura kwa sana.
3. Mkurugenzi wa manispaa ya Ilala na Waitara ni maji na moto. Hasa mkikumbuka walichofanyiana kule Kitunda juzi tu huku Waitara akiwa amestaafu. Kwa wenyeji wa Ukonga wanajua hili.
4. Akina Mura ambao ndiyo idadi kubwa ya wakazi wa jimbo hili wanadai amewaaibisha wanataka wampe funzo.

Narudia tena huyu dada atakuwa kiboko ya Waitara kama ilivyokuwa kwa Bona na Mtatiro.

Wekeni katika kumbukumbu huu uzi na siku ya matokeo mtakuja kuniambia.
kwa jinsi wakurugenzi wanavyopenda ajira zao utaniambia, kumbuka mkurugenzi wa kinondoni walipochukua wapinzani nini kilimpata, na juzi kati alipochaguliwa tena kuwa mkurugenzi wa mji flani alikataa.
 
Back
Top Bottom