Ninaapa kuwa mtumishi mwaminifu kwa chama cha mafisadi tu........

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
216,601
728,446

Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa Ruvuma Bi. Aziza Luttala ,akimuapisha Diwani wa Kata ya Matimila kupitia Chama Cha Capinduzi(CCM), Bw. Menas Komba, juzi katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Songea Vijijini, baada ya diwani huyo kushinda kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika wiki iliyopita.
 

PrN-kazi

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
2,900
439
Huyo Hakimu Mkazi wa Mahakama ya mkoa naye anapoteza muda wake tu, Hayo magamba hata yakiapishwa ni kazi bure.
 

Anko Sam

JF-Expert Member
Jun 30, 2010
3,202
812
Kawaida wana shika vitabu vitakatifu wanapo apa, huyu ni mwizi mbona hajashika kitabu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom