Ninaanza kutumia solar badala ya umeme nyumbani

Nunua sola watt 2000 ..betr N 1500...controls watt 5000 . vyote viwe OG....jumla sh Milion 5 pamoja na garama za ufungaji ..utainjoy milele bila usumbufu wa TANESCO
NAHITAJI KUWEKA TAA YA NJE KAMA ZILE ZA BARABARANI,NI KAMPUNI IPI INAYO UZA SECURITY LIGHT ZA NAMNA HIYO?
 
Hata ukitumia solar itaandaliwa tu namna ya kulipia kodi husika. Cha muhimu ni kuwa na Katiba mpya yenye kuwezesha kuwapata viongozi chagua la wananchi ambao wakiamua kitu wanaamua kwa maslahi ya wananchi waliowachagua. Viongozi wanaopata nafasi bila ridhaa ya wananchi hawana huruma na wananchi kwa nafasi walizonazo wamapata kwa kutumia fedha au nguvu ya dola.
 
Salamu Wakuu,

Je, ninahitaji solar power yenye ukubwa gani inawasha Tv, kingamuzi, pasi, fridge na taa 5?

Nimechoka luku.

Naomba kufahamishwa tafadhali
Tafuta watt capacity ya kila kifaa then jumlisha na watt za kuchaji betri ndo utapata ukuwa wa solar panels.
 
Back
Top Bottom