Nina zawadi ndogo kwa Magufuli, taratibu za kumpatia zikoje?

shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,915
2,329
habari wadau..

binafsi nina zawadi ndogo kwa mheshimiwa rais magufuli...

utaratibu wa kumpatia ukoje??

nimekubali waliomuita tinga tinga hawakukosea...

naombeni utaratibu wa kumpatia au kumtumia zawadi yangu ukoje??
 
Mfunga viatu yupo sasa apatikana muosha vyombo! Mdogo mdogo tutafika hata kama ni kijipendekeza hapa ni kazi tuu
 
Mkabithi mtendaji kata, ataipeleka kwa mtendaji tarafa, itafika kwa mkuu wa wilaya, ataikabidhi kwa mkuu wa mkoa, mkuu wa mkoa atawasiliana na katibu mkuu kiongozi.
 
wewe ndio Malecela kasema nini kuwa magu wamuongezee ulinzi.



swissme
 
Ukisikia kaenda Chato na wewe mfuate ukampe zawadi yako kwani huko yeye hujichanganya na Wazee, Watoto wa shule, wageni kutoka nje ya inchi, huenda kujichanganya kanisani ngomani na kwenye chagulaga kulinda mila zake, hivyo wewe huhitaji nguvu kubwa kumtafuta
 
Back
Top Bottom