Nina wiki ya pili kazini, ila nataka kuacha kazi

Narudi kupiga winga Kariakoo, naona kupiga winga is better than kuwa hapa.

Baaaria nimekusoma kwa sauti kubwa sana na nimekuelewa … ajira waweza kulipwa 2million Tshs kwa mwezi , ila winga anaweza kubutu hadi 1million na zaidi kwa wiki , sasa bora uwe mwajuma au mwantumu kwenye kazi za kuajiriwa au bora uwe boss Winga una set mipango kokote ulipo pesa zina ingia tu.

Oyaaa huyu Mwamba ajenge sanamu POSTA! Staki maswali
 
Pale kariakoo na posta kuna mawinga kwawao kupata 300,000Tshs mpaka 500,000Tshs na zaidi kwa siku nikawaida . Na nimewashuhudia na macho yangu , sasa watu kama hawa hivo vijikazi vya umama kuajiriwa unaweza waambia nini wakakuelewa . Tena achana na mawinga wa nyumba ndio hatari wanapiga mitonyo ya vishindo kweli kweli
 
Niunganishe kwenye goli lako kaka.. nakupa asilimia 60 ya faida. Mimi nachukua asilimia 40. Na kuna msingi wangu ntaongezea

Bongo nyoso watu wako serious , 60% Ale Ex Winga mwenye goli lake na channel zake , 40% ale muendesha machannel … nimewakubali salute sana
 
Hamna mkuu

Mimi kyagata nimekuelewa sana , kuna msemo unasema , nyuki hata siku moja hawezi mshauri nzi kuwa asali tamu , na nzi hawezi mshauri nyuki kuwa mavi matamu . Wewe unajuwa ulichokuwa unafanya na sasa nini unafanya huko porini kwa wanyama, kwanza ukiangalia umerudi tena kwenye utumwa na pili huna raha na maisha huko , ukifikiria kijimshahara chao cha 850k ulikuwa wakibutua kwa wiki tu. Swali langu aliyokushauru ujariwe nani ? Huyo ndio mchawi wako sasa
 
k
Mazingira ya hii kampuni tu hayajanivutia. Ni kazi ya mkataba wa mwaka mmoja(renewable). So naona siwezi kuendelea nao mbele.

Ndio kwanza nina week ya pili kazini ila nataka kuacha.

Mnanishaurije?
Njoo ulambe pumzi ya moto kitaani
 
if this, achana nayo boss!

2977B02B-F2AC-461E-810D-D2FB4996967F.jpg

Kyagata hii inakufaaa mzeee, maaana leo umefunguka mpaka nasikia raha sana . Ntumir namba yako baaria nikuwekee japo 10k ule supu ma chapati
 
Pale kariakoo na posta kuna mawinga kwawao kupata 300,000Tshs mpaka 500,000Tshs na zaidi kwa siku nikawaida . Na nimewashuhudia na macho yangu , sasa watu kama hawa hivo vijikazi vya umama kuajiriwa unaweza waambia nini wakakuelewa . Tena achana na mawinga wa nyumba ndio hatari wanapiga mitonyo ya vishindo kweli kweli
Winga kazi yake nini? hebu nifafanulie
 
Mazingira ya hii kampuni tu hayajanivutia. Ni kazi ya mkataba wa mwaka mmoja(renewable). So naona siwezi kuendelea nao mbele.

Ndio kwanza nina week ya pili kazini ila nataka kuacha.

Mnanishaurije?
Ungeeleza kwanini mazingira hayakuvutii ili tuweze kukushauri

Kwani ulivyofanya interview si uliona mazingira yenyewe?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Pale kariakoo na posta kuna mawinga kwawao kupata 300,000Tshs mpaka 500,000Tshs na zaidi kwa siku nikawaida . Na nimewashuhudia na macho yangu , sasa watu kama hawa hivo vijikazi vya umama kuajiriwa unaweza waambia nini wakakuelewa . Tena achana na mawinga wa nyumba ndio hatari wanapiga mitonyo ya vishindo kweli kweli
madalali bana,mna maneno.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom