Nina wazo la kutengeneza App

MalumeNdago

Member
Jan 8, 2018
28
16
Habari,

Mimi ni kijana nina idea ya kutengeneza app kwa soko la Tanzania na baadae inaweza kutanuka kwenye nchi za jirani. Ni idea ambayo tatizo lake bado watu hawajalitatua hivyo kuna uwezekano lika tick. Shida Kuu ni sijasoma mambo ya IT Na sina hela nyingi za kuweza ku finance project nzima?

Naomba ushauri nianzie wapi?
 
Habari,
Mimi ni kijana Nina idea ya kutengeneza app kwa soko la Tanzania Na baadae inaweza kutanuka kwenye nchi za jirani. Ni idea ambalo tatizo lake bado watu hawajalitatua hivyo kuna uwezekano lika tick. Shida Kuu ni sijasoma mambo ya IT Na sina hela nyingi za kuweza ku finance project nzima?
Naomba ushauri nianzie wapi?
Vyema ukasoma vitabu vinavyo elekeza jinsi ya kumiliki wazo lako la kibiashara,anzia hapo kwanza then kila kitu kitakuwa clear

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Akiitoa tu watu wataiiba idea yake ndo shida hyo na bila kusema hyo idea watanzania hawawezi kumwelewa ndo tatizo linaanzia hapo
Mwiz tu uyo hamna lolote aweke io idea hapa au anichek maana unaweza kujiona genious kumbe io kazwatu washafanya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom