Nina wazo la kufanya biashara ya malighafi zitokanazo na mifugo

Gemini Are Forever

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
1,457
2,435
Hi, hustlers! Poleni na majukumu.

Rejea title hapo juu. Nina wazo la kuanza biashara ya malighafi zitokanazo na mifugo kama vile ngozi, pembe, kwato, meno, mifupa, mbolea n.k. ambapo mimi nitakuwa supplier.

Naomba mwenye ufahamu wake kwa namna yoyote ile na wa masoko kwa Dar na Tanzania kiujumla.

Asanteni!

CHASHA FARMING

GLOBAL CITIZEN

CONTROLA

Malila
 
Damian j Ntundagi said:
Vitu ulivyotaja vinatumika kutengeneza gundi, viatu na vyakula vya mifugo kwa ushauri jaribu kutembelea viwanda vya vitu hivyo wewe mwenyewe
Asante sana ndugu. Viwanda/kiwanda kinapatkana wapi kwa Dar au TZ kwa ujumla? Naomba mwongozo.
 
Pembe zinahitanika ila ni boashara ngumu sana ni tani na tani ndo unapaswa kukusanya, Kuhusu ngozi ni kwamba Ngozi zetu zina shida ya quality na hii inasababishwa na aina ya mifugo tulio nayo ambayo haina ubora.
Hi, hustlers! Poleni na majukumu.

Rejea title hapo juu. Nina wazo la kuanza biashara ya malighafi zitokanazo na mifugo kama vile ngozi, pembe, kwato, meno, mifupa, mbolea n.k. ambapo mimi nitakuwa supplier.

Naomba mwenye ufahamu wake kwa namna yoyote ile na wa masoko kwa Dar na Tanzania kiujumla.

Asanteni!

CHASHA FARMING

GLOBAL CITIZEN

CONTROLA

Malila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbolea inaweza kuwa nafaida kama unazalisha mwenyewe na si kwenda kunununa then uuze, na pia tambua wakulima wengi hasa wa harakaharaka hawatumii mbole hizi kwa sababu zina virutubisho vya kiwango cha chini sana kulinganisha na za viwandani.

Mbole labda uwe na shamba lako unatumia kwenye kilimo chako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi, hustlers! Poleni na majukumu.

Rejea title hapo juu. Nina wazo la kuanza biashara ya malighafi zitokanazo na mifugo kama vile ngozi, pembe, kwato, meno, mifupa, mbolea n.k. ambapo mimi nitakuwa supplier.

Naomba mwenye ufahamu wake kwa namna yoyote ile na wa masoko kwa Dar na Tanzania kiujumla.

Asanteni!

CHASHA FARMING

GLOBAL CITIZEN

CONTROLA

Malila
Soko la mbolea ya mifugo eg mbolea ya kuku mie nnalo la uhakika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom