Nina wazo la biashara nahitaji patner.

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,109
2,750
Wakuu wa nchi Nina wazo la biashara nahitaji patner tunaweza kufanya naye nimeshaifanya tathimini inalipa sana ,
Nitumie sms please Kwa maelezo zaidi
,
 
Biashara yenyewe Ni kununua scania mende from UK na fuso tipper ndogo na kuanza biashara ila mtaji wake Ni mkubwa ,karibia milioni 150 ,for both rigs
 
Hauna pesa wewe,kama ungekuwa na uwezo wa kununua mende usingehangaika hapa.jf imevamiwa na wasiojielewa.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom