bishororo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 254
- 358
Nmekaa nikafikiria juu ya mustakabali wa nchi ztu za Afrika kuhusu dhana nzima ya uongozi nikaona kifupi hatuna power na viongozi wenye sifa ya kulisukuma gurudumu mpaka kwny kilele cha mafanikio na maendeleo.
Nikapata wazo, kwanini nchi zetu isiendeshwe kama taasisi(organization) tukaajiri viongozi waliobobea kutoka nchi hasa zilizoendelea wa sekta mbalimbali na tukawapa kabisa malengo yetu na vitu tunavotaka na kwa muda maalum wakiharibu tunafukuza mara moja tunaleta wengine.
Mimi naona hili wazo litafaa katika nchi zetu hasa Africa.