Nina wasiwasi yaliyomkuta Yusufu yananinyemelea

Nita mwambia ndugu yako kuwa una panga kumuhujumu kuusu ndoa yake jifanye majanja
 
Kama mnakaa mbalimbali (wilaya tofauti labda). Peleka moto. Ila kama mnakaa mtaa 1; kimbia kasi ya Usain Bolt Mkuu

Bazazi
 
Kama wew ndio ulikua msuluishi wa ndoa,alafu wewe unakuja kuomba ushauri kuhusu nini ufanye ktk suala la uzinzi basi wewe tena wewe ni MPUMBAVUUUU UNAWAZA KIPUMBAVUU
 
Eti anataka mchezo!!!
Yaani 120% naamini huyu jamaa ndo kaweka hayo mazingira mpaka shemeji yake kajikuta kwenye mazingira magum maana usikute kila siku anampgia cm anamwambia shemeji bila mim ujue ungekuwa kwenu!!!!?

Kwahyo shemeji yako anajiuliza kuwa hivi huyu alisuluhisha ili anisimange hivi??
Au anataka nimlipe fadhila gani???

Ndo kakutumia hako kaujumbe ili aone buyu lako litafikiria nin??

Binafsi nakushaurii kaaa mbali Mita nyingi saaana maana nina imani hayakukuta ya yusufu.

Yatakukuta yatozi mmoja hivi mpaka leo hana uwezo wakuzuia haja kubwaaa
Yaani akikohoa lazima ajambee

Kaa mbali kakaaa tena ikiwezekana saivi hata sms yake potezea nina uhakika hutachati nayey saivi
 
Back
Top Bottom