Nina wasiwasi na umakini wa vyama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina wasiwasi na umakini wa vyama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Outlier, Jan 15, 2009.

 1. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Samahani kwa kuwatoa kwenye 'real issues' lakini ni kweli tuko serious na mambo yetu au geresha tu? Watu wengine tuna tendency ya kufanya judgement kwenye minor issues.

  Hebu angalia tovuti hizi za vyama, no updates na makosa obvious!

  NCCRMAGEUZI (source: Tovuti ya Chama cha NCCR Mageuzi - AFYA NA MAZINGIRA au Tovuti ya Chama cha NCCR Mageuzi - Habari Mpya)
  Hiyo ni toka mwaka huo ulioonyeshwa!
  Paragraph kujirudia kwa nini hawa-delete?

  CHADEMA (source: Anuani za Wanachama wa CHADEMA)
  Mnajua natamani wa-update nini!

  CCM (source: Website Rasmi ya Chama Cha Mapinduzi - CCM | Hotuba za Mwenyekiti)
  Internal links kibao ziko empty!

  CUF
  Sijaiona site yao, naomba address please.

  Hapo hatujaingia kwenye sera, ziko vague ama too general, najaribu kujiunga na chama na haya mambo yananikera kweli kweli.
   
 2. A

  Asha Abdala JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 1,134
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Ulitaka waweke hii nini? Kwaheri Mpambanaji

  Kati ya CCM, CHADEMA, NCCR na CUF nani wanabadili yaliyomo kwenye tovuti zao mara kwa mara zaidi?


  Asha
   
Loading...