Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Kutokana na tone ya Kamishna kuwa ya kipolepole na ya kizembe zembe (sio ya hasira na kukurupuka) nna wasiwasi sana akapokwa mamlaka yake hasa katika suala hili la vita ya madawa ya kulevya.
Japo anaonekana ana akili sana, na anaonesha SIO MTU WA KUKURUPUKA, ila binafsi nina wasiwasi sana na uhuru wake katika kazi yake ya kudeal na drugs, na kuna uwezekano mkubwa sana majukumu yake yakaonekana kubebwa na Makonda hasa kwa sababu kuu tatu:-
1. Makonda anaonekana kama muanzilishi wa vita hii, so atataka iwe na mwisho wa mafanikio ili apate sifa.
2. Kamishna anaonekana mpole na yupo tofauti na Makonda na Magufuli (personal traits
3. Makonda ni mtu wa kupenda masifa. Na style ya watu hawa, wanapenda waonekane wao tu.
Katika hili la kupokwa uhuru na maamuzi ya kamishna, nina mashaka sana kama ataweza kuweka majina yake yatakayotokana na uchunguzi wake BILA KUMWONESHA MAKONDA. Na hata ikitokea kafanya hivyo, ni rahisi sana kwa Makonda kufanya maamuzi ya kuondoa jina la mtu ambaye ni mtu wake wa karibu.
Nawasilisha