Manywele The Great
Member
- Aug 26, 2012
- 56
- 9
Wajumbe hivi majuzi nimeambiwa na binamu yangu kuwa anasoma shahada ya kwanza Kampala International University tawi la Dar es Salaam. Binamu yangu huyu alifeli form 4 kwa kuscore division zero akaenda kusoma mambo uhudumu wa ofisi(Office Secretary) kisha kuajiriwa kama mhudumu wa ofisi.
Hakuwahi kuresit wala kuendelea na masomo! Cha kushangaza sasa hivi anachukua degree! Sasa KIU wanapokea watu wa aina hii? Au ni magumashi yanafanyika kwenye hivi vyuo!! Wanaoifahamu KIU vizuri nisaidieni.