Nina wasiwasi na elimu inayotolewa Kampala International University tawi la Dar

Aug 26, 2012
56
9
Wajumbe hivi majuzi nimeambiwa na binamu yangu kuwa anasoma shahada ya kwanza Kampala International University tawi la Dar es Salaam. Binamu yangu huyu alifeli form 4 kwa kuscore division zero akaenda kusoma mambo uhudumu wa ofisi(Office Secretary) kisha kuajiriwa kama mhudumu wa ofisi.

Hakuwahi kuresit wala kuendelea na masomo! Cha kushangaza sasa hivi anachukua degree! Sasa KIU wanapokea watu wa aina hii? Au ni magumashi yanafanyika kwenye hivi vyuo!! Wanaoifahamu KIU vizuri nisaidieni.
 
mi siifahamu KIU ki-hivyo,lakini huenda binamu yako aligushi vyeti vilivyo mpa sifa za kuingia hapo!!je anaendelea kutumia jina lake au hata jina si lake!!!
 
Kuna dogo mmoja namfahamu alipigwa disco chuo fulan wakati anaingia mwaka wa tatu....na sasa yupo KIU wamempokea anasoma mwaka wa tatu kozi tofauti na ile alopigwa disco
 
unashangaa KIU? me nawajua watu kibao walifeli form 4, hawana credit 3, na sasa wako morogoro muslim university

kuna wengine nao ni failure lakini wanachukua bachelor mzumbe. sasa kwa mtindo huu ni bora serikali ikatangaza rasmi kua kujiunga na university hata failures ruksa
 
Kuna dogo mmoja namfahamu alipigwa disco chuo fulan wakati anaingia mwaka wa tatu....na sasa yupo KIU wamempokea anasoma mwaka wa tatu kozi tofauti na ile alopigwa disco
Kwani mtu akidisco chuo flani ndiyo kwamba hapokelewi chuo kingine?
 
Division zero????????????????????Anatumia jina hilo hilo!!!!Hakuwahi kurudia mtihani!!!!!Anasoma University!!!!!!Kazi ipo.TCU inabidi wawe makini kwa kweli.
 
Tuambie yapi hayo ya udom mkuu?tuna ndugu zetu hapo na hawajawahi kulalamika
afterall vyuo vya umma huwa hawachagui vilaza......

HAPO KWENYE RED: You may be right, lkn kumbuka kuwa UDOM ni kama chuo cha ccm kiutawala (ingawa majority ya wanafunzi na workers ni CDM), kwa hiyo maagizo ya ki-ccm yapo mengi, na haya yaingilia uhuru University. Ningeweza kukupa mifano hai lkn naogopa ku-disclose my identity.

Ndugu zako hawalalamiki huenda kwa sababu hawana alternative. Walalamike ili wakapate wapi degree? Wengi wa wanafunzi wanaokuja UDOM ni vilaza, na bahati mbaya wanakuta walimu ambao actually bado hawajawa walimu!! I hope you know what I mean.
 
sio kwamba una chuki binafsi au niseme mayb ulidisco hapo udom ndo maana umejenga chuki?
 
sio kwamba una chuki binafsi au niseme mayb ulidisco hapo udom ndo maana umejenga chuki?

Siyo chuki mkuu, mm ni mwalimu pale. Naumia sana kuona uduni wa ufundishaji pale, nikilinganisha na chuo nilikotoka. Na pia naumia sana na quality ya wanafunzi tunaoletewa pale.

Kama una access ya mwalimu yeyote wa UDOM, jaribu kumpeleleza
 
:shut-mouth:katika principles za vyuo hakuna chuo kinachochukua div 0 sasa wew uliza huyo ndugu yako alitoa wap vyeti vya kumuwezesha msichafulie vyuo majina nenda CBE dar na dodoma kaone madudu dogo no research no right to talk acha kutapikia nyuma wew mdomo una kazi yake sawaaaaa
 
Mmmmmmh!

kuhusu kusoma na zero hilo halipo itabidi aende kuhakikisha itakuwa yupo certificate huyo..
 
:shut-mouth:katika principles za vyuo hakuna chuo kinachochukua div 0 sasa wew uliza huyo ndugu yako alitoa wap vyeti vya kumuwezesha msichafulie vyuo majina nenda CBE dar na dodoma kaone madudu dogo no research no right to talk acha kutapikia nyuma wew mdomo una kazi yake sawaaaaa

Mwingine ni upuuzi humu!Watu wanachafua vyuo vya watu humu, na inawezekana wanalipwa kuchafua vyuo vya watu.Tanzania bado tuna ahaba wa wataalam humu, leo watu wanajitokeza kuwekeza lakini watanzania hatuna jema tunawapigia kelele bila sababu za msingi.Nasema huu ni uzinga wa baadhi ya wapuuzi flani humu!Sio wote wanaopata nafasi vyuo vya uma na saivi kuna utitiri wa shule nyingi za sekondari usioendana na vyuo vilivyopo nchini.Kama mtu ana ushahidi aweke majina ya hao wanafunzi failure humu tutawatafuta kokote walipo.Kama huna ushahidi nyamaza kimya maana hata huna msaada wowote kuwalipia ada zao.
 
Back
Top Bottom