Nina wasiwasi na elimu anayoidai huyu Mheshimiwa Msukuma.

Mbase1970

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
6,054
4,601
Huyu jamaa anajiita ni wa darasa la saba lakini nikipitia katika clip nyingi mara nyingi anaongea sana ukweli. Pitia video zifuatavyo halafu mkosoe halafu linganisha na wabunge wasomi wa CCM na CDM.
Hapa kuhusu mchanga


Hapa Wanafiki


Angalia hapa



Hapa yupo na Bashite



Hapa anamchana waziri wa Magufuli na kuwamaliza wanaCCM wenzake kwa kupiga makofi


Ningefurahi sana kama wabunge wetu wangekua wakweli kama huyu Msukuma. Kijiko anakiita kijiko na siyo uma.
 
Back
Top Bottom