Nina wasi wasi na hali yangu!

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
19,730
10,057
habari zenu wana jukwaa hili.

kijana mimi ni me by sex, iam 25 years old now.

tatizo (naomba tu niliite tatizo) ambalo ninalo mpaka sasa ni kuhusu hii hali yangu ya kutokuwa na feeling zozote za kupenda, i mean falling in love with a girl/woman.

toka enzi na enzi nikiwa o level mpaka namaliza elimu yangu yoote ya sekondari kipindi chote cha nyuma, kwa kweli wadau sijawahi jisikia kumpenda mwanamke wa aina yoyote ile either katika mazingira ya shule ama nyumbani.

nilishajaribu kumapproach mdada fulani, for sure hakunisumbua, alinikubalia, lakini cha ajabu mahusiano yale yaliisha ndani ya mwezi!!

sababu kuu hasa ya kuisha/kufa kwa mahusiano hayo ilikuwa ni mimi mwenyewe!! mdada wa watu nilikuwa simjali.

sms ikitumwa haijibiwi, kama ni majibu basi ni baada ya masaa mengi, mawasiliano yetu kwa simu ilikuwa ni baada muda mrefu, hata akinibip mi hata sijiskii kuongea nae!

hii tabia imejitokeza kwa wadada kama wanne hivi mpaka sasa!!

jamani mwenzenu najihisi kuishi dunia ya peke yangu!!!,

natamani sana kuwa na mpenzi! lakini hii hali inanitisha!!

mimi si mtu wa kuwa busy sana labda ndo niseme ndo sababu, wala pia mimi si mwanafunzi wa aina yoyote ile!

naombeni ushauri wenu tafadhalini!
 
Uko safi tu wala usiwe na wasiwasi kama huna marafiki wanaoendekeza Mademu utakuwa na hali kama yako.
Uko safi tu wala usisikitike.
 
sumu tamu usijali anayekunanga. muda bado unao wa kutosha. mapenzi is all about feelings. atakuja kutokea utakayempenda hadi uchanganyikiwe. kuna wanaouwa kwa binduki kwa ajili ya K
 
Last edited by a moderator:
tumia dawa moja inaitwa lagat kidonge kimoja kwa siku kwa mda wa siku saba!utarudi katika hali yako ya kawaida!
 
Back
Top Bottom