Nina wapenzi zaidi ya mmoja lakini bado nampenda huyu mmoja

Waungwana habari? Kama kawaida yangu sinaga mada za kutunga bali nakuwa muwazi kwa yale yanayonipata..nishalala na wanawake wengi sana kiasi kwamba sina idadi kamili ila nakumbuka si chini ya 190,na huwa siwezi kutulia na mwanamke mmoja.napenda kuwa nao hata watatu au wanne lakini katika hao ni mmoja tu ndiye ninaemuogopa na nampenda sana.niko tayari kuachana na wengine wote lakini huyu mmoja siwezi na nakuwa muoga ata nawaza Siku akiamua kuachana na mimi sijui nitaishije maisha yangu.huyu manzi ninae tangia akiwa form five na sasa anaingia chuo mwaka wa pili na kibaya zaidi namsomesha mimi na namhudumia kila kitu..wanajamvi nawaambieni tu ukweli kwamba wanawake ninao wengi sana ila Kumuacha huyu naogopa na siwezi naapa kwa Mungu.na nakuwa makini sana nikiwa nae ili asijue kama mimi ni malaya wa kutupwa.maana hataamini kutokana na mazingira niliyomuwekea ya kuniamini..im efikia kipindi kuna malafiki zake watatu nimewatafuna hajajua na wala hawajuani wote watatu kama nimewatafuna nikikumbuka nacheka sana dah ..sasa hapa nawaza hivi kwa nini nina mademu wengiwengi lakini kwa huyu nagwaya? Sina kauri kwake kiufupi kwake mi sijiwezi nisiwe muongo..ajabu ni kwamba hao wengine huwa nawanyanyasa sana lakini kwa huyu aisee sina ujanja. Halafu hao wengine nikiwa nao basi nitahakikisha wanamfahamu na wala siogopi.nawaeleza kabisa kwamba nina mpenzi wangu sihofii wataumia kiasi gani maana huwa nikishakula tu ndio nakuwa muwazi..jee hii inatokana na nini wakuu?? Na napata mademu wengine wakali na wanajua mapenzi zaidi yake ila nawaona hamna kitu tu .mi namuona yeye tu ndiye bora...je hii ni kwa sababu ganiiii???
SITAKI MAJIBU YANAYOHUSU CCM AU CHADEMA HAPA.JIBU KUTOKANA NA MADA HUSIKA SIO KUJIFANYA UNAWAZA SIASA HAPA..SIASA PELEKA JUKWAA LA SIASA.NA UBISHI SITAKI
Kakulisha kinyesi cha mbwa mweusi
 
Back
Top Bottom