Nina uzoefu wa kazi za Usecretary na Uwakala wa makampuni mbalimbali, natafuta kazi yoyote halali

miriam 111

Senior Member
Aug 25, 2018
100
77
Wakuu Poleni na majukumu

Mimi ni binti wa miaka 24, naishi Tabata Dar es Salaam. Nimehitimu kidato cha nne mwaka 2013, ila kutokana na sababu za kiuchumi nlishindwa kwenda chuo.

Baadaye nilifanikiwa kusoma computer. Najua kuongea na kuandika Kiingereza na Kiswahili. Najua kutumia NMB na Equity wakala machine, pia Max Malipo

Nina uzoefu wa kazi ya secretary na pia nilishawahi kufanya kazi kama cashier katika kampuni moja hapa mjini.

Naomba kwa yeyote anaeweza kunisaidia ani PM huko nitampa mawasiliano yangu.

Ahsante, nawatakia siku njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ipo kazi anahitajika dada wa stationary

uwe na kitambulisho cha NIDA au namba ulosajilia laini zako ambayo unatumia sasa

mashaidi wawili wawe hivyo hvyo vitambulisho au namba ya NIDA walosajilia laini zao

(mashaidi sio lazima kufika ofisini wataambatisha copy ya kitambulisho/namba ya NIDA na namba zao za simu watapigiwa kuthibitusha) la ukipenda kuja nao sawa tu

mashaidi uwapige picha za sasa moja nusu kama pasport nyingne full kwa simu au camera vyovyote muhimu zitahifadhiwa katika computer

Barua za serikali za mtaa unaoishi
na mashaidi zako hivyohvyo barua za serikali za mitaa wanayoishi

uwe unajua kutumia MICROSOFT OFICCE PROGLAM zote
uwe unajua kudesigne Card za harusi bussnes card nk
Sifa nyingne umeziambatisha mwenyewe hapo juu

ENEO la kazi ni DAR ES SALAAM KURASINI

km unavyo hivyo VIGEZO njoo Pm au weka namba yako ya Simu nikupigie ama nitumie namba yako simu PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom