Nina uvimbe pembeni ya mdomo. Sababu ni nini?

mwanakijiji lugusi

Senior Member
Apr 13, 2016
128
96
Wadau nina miaka kumi sasa kuna uvimbe mdomon nimetumia dawa ya kusukutua mouth wash lkn tatizo bado lipo nimeendea hospital lkn tatizo halipon nini tatizo na kama ni ngoma nimepima sana tu jaman nisaidien kwa kuwa hili tatizo linanitesa sana na lilianza kama kaupele hivi mdomoni.


IMG_20201114_162458_303.jpg
 
Unahitaji kwenda hospitali kubwa za level ya juu kama Muhimbili, Benjamin Mkapa, KCMC, BUGANDO na Ocean Road
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom