CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,914
kama kila m2 ataamua kujiajiri nani atamfanyia kazi mwenzie mfano je bakheresa anauwezo wa kufanya kila ki2 mwenyewe?je wewe katika biashara yako utamudu kila k2 huhitaji msaada?
Ya haiwezekani Kuajiriwa wote Nchi za ASIA ZINAFILIKIWAKUWA MOJA YA NCHI ZENYE ENTREPRENERSHIP SPIRT KUBWA SANA bu still kuna wafanyakazi wakufa mtu na wameajiriwa na wajasirimali, NI kwamba ni lazima tuoneuchungu kwa vijana wengi sana walioko mtaani na tuone kama ni jukumu letu sisikudevelop Aidia ambazo zitatufanya tuwaajiri wale vijana
- Hii ni nchi yetu hatuwezi endelea katika kiwangi kikubwa sana chaGraduate kuwaza kuajiriwa tu, Fanya Utafiti nenda Chuo chochote hapa TZ wahojiwanavyuo nini matarajio yao, Mkuu bila shaka asilimia 99.06% watakuwa namatarajio ya kuajiriwa tu ana vyuo vingine unaweza kukuta ni 100% mkuu hii nihatari sana yena mno wakati nchi kama INDIA unaweza kukuta chuo kina asilimia40% had 60 ya vijana wanatarajia kujiajiri na inategemea na chuo kuna baadhi yavyuo huenda hadi 80%
NI LAZIMA TUBADILIKE ILI BASI HARA ROBO WANAENDA KUWA WAJASIRIMALI NAWANAOBAKIA WAWE WAAJIRIWA