Nina uraibu wa picha za utupu (Pornography)

Kuacha siyo kazi rahisi dawa upate dem atakayekuwa karibu na ambaye hakuzungushi ukijiskia, yaani ukifululiza mechi tano tu utaleta mrejesho
shukrani sana bro nitafanyia kazi ushauri wako
 
Tatizo lako sio porn tatizo lako ni kujichua. Halafu demu akija wala usishtuke na kukata tamaa wewe mvuae nguo halafu anza process kama kumkiss kumchezea manyonyo na kuzama chumvini.

Ile mihemko atakayokuwa nayo dushe litasimama lenyewe. Akili ndio inasimamisha so ondoa uoga kuwa umekuwa addicted sijui nn wewe anza mchakato utaona baada ya muda mambo yanakaa sawa.

Funzadume
Mpiga puchu mstaafu
Porn ni tatizo KUBWA SANA.
 
Mara ya kwanza niliweza kuacha nyeto kwa siku 47 lakin siku ya 48 nili relapse nikarud kwenye nyeto... Kwasababu niliianza kuwa na msongo wa mawazo sana.. kwa sasa nataka nianze upya challenge ya kuacha nyeto na ninaamini nitafanikiwa japo ni ngum sana kuacha nyeto Hali ya kuwa sina dem na mm ni rijali kabisa, ila kwa madhara ya nyeto yalivyo sina budi kutangaza kustaafu
 
Dah huku chini ulivyomaliza
 
Uoga wako ndio upungufu wako wa nguvu za kiume ..ondoa hofu ndugu unapokua na huyo demu wako .hakika utaleta mrejesho hapa
 
Pole sana Boss...
Huwezi kuacha Nyeto km Huna dem na hauko bizee sana otherwise utakuwa unachukua rikizo afu unarejea kwenye mtanange...
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 nimekuwa muhanga wa picha za ngono kwa miaka mingi huku nikiwa sina mahusiano mengine maana zimeniathiri kiasi kwamba wasichana wote nawaona wa kawaida tu hata kutongoza kwangu kumekuwa shida sana.

Ila tatizo nimeanza kuliona juzi baada ya kumpata binti mmoja niliemfukuzia kwa miaka mingi, kwanza msichana kaja gheto hata ile mihemko sikuwa nayo pia kavua nguo mimi sistuki naona kawaida yani zile hisia zikaondoka iabidi nipange safari ya ghafla.

Siku nyingine pia msichana kaja nikazuga naumwa so hivi sasa imebidi nimkwepe kabisa ili kukwepa aibu japo akiwa ayupo nikimfikiria tu uume unasimama vizuri shida akija hisia zote uondoka.

Naombeni msaada wa mawwzo yenu kipi nifanye ili nirudi katika hali yangu ya kawaida na pia nikiacha kuangalia Pornography inaweza kunichukua muda gani kurudi katika hali yangu ya kawaida?
mzee baba utachanganyikiwa zaidi pale demu kaja geto siku umemvua alafu ile unapambana kuingiza tu wazungu hawa apa
unabaki unawaza umekosea wapi mbona king nasir anasugua 30mins wewe sekunde tu tiari😆😆😆
ndo hapo sasa unaingia steji nyingine mara oooo sina nguvu za kiume unaanza kunywa juis za pweza kwa fujo mara alkasus
na sasa hivi hadi watoto wana smartphns ili tatizo litasumbua sana uko mbele aiseee yaani litakua fursa kabisa kwa wajanja uko mbeleni
 
Mara ya kwanza niliweza kuacha nyeto kwa siku 47 lakin siku ya 48 nili relapse nikarud kwenye nyeto... Kwasababu niliianza kuwa na msongo wa mawazo sana.. kwa sasa nataka nianze upya challenge ya kuacha nyeto na ninaamini nitafanikiwa japo ni ngum sana kuacha nyeto Hali ya kuwa sina dem na mm ni rijali kabisa, ila kwa madhara ya nyeto yalivyo sina budi kutangaza kustaafu
Heri Mimi nyeto sijawahi kupiga ila porn naangalia sana miaka kumi na kitu Bado nazicheki
 
Back
Top Bottom