Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 1,830
- 3,059
Mimi ni kijana wa miaka 25 nimekuwa muhanga wa picha za ngono kwa miaka mingi huku nikiwa sina mahusiano mengine maana zimeniathiri kiasi kwamba wasichana wote nawaona wa kawaida tu hata kutongoza kwangu kumekuwa shida sana.
Ila tatizo nimeanza kuliona juzi baada ya kumpata binti mmoja niliemfukuzia kwa miaka mingi, kwanza msichana kaja gheto hata ile mihemko sikuwa nayo pia kavua nguo mimi sistuki naona kawaida yani zile hisia zikaondoka iabidi nipange safari ya ghafla.
Siku nyingine pia msichana kaja nikazuga naumwa so hivi sasa imebidi nimkwepe kabisa ili kukwepa aibu japo akiwa ayupo nikimfikiria tu uume unasimama vizuri shida akija hisia zote uondoka.
Naombeni msaada wa mawwzo yenu kipi nifanye ili nirudi katika hali yangu ya kawaida na pia nikiacha kuangalia Pornography inaweza kunichukua muda gani kurudi katika hali yangu ya kawaida?