Nina uraibu wa picha za utupu (Pornography)

ahsante sana kaka je nikiyafanya haya yote hizi taswira huweza kufutika baada ya muda gani yani nikawa kawaida ambapo hata ukiona mpaja tu unasisimka?
ahsante sana kaka je nikiyafanya haya yote hizi taswira huweza kufutika baada ya muda gani yani nikawa kawaida ambapo hata ukiona mpaja tu unasisimka?

kumbuka ukifanya jambo zaidi ya mara tatu hujenga mazoea, na ukifanya jambo zaidi ya mara 28 ( siku 28 hujenga tabia
 
ushauri:
jaribu kumzoea dem sana tena sana ukaenae geto mara nyingi mpaka usiwe na hofu juu yake.
ila akija geto tu ukawaza kugonga ndo unapaniki .
kiufupi usipanie sana
kaa nae mchezee kawaida tu kupunguza hofu ndani yako na pia bila kuonesha unataka kumla .
ukifanya ivi mara 3,4 ya tano utamla bila kutegemea.

alafu usimruhusu afike tu avue nguo utapaniki sababu hujui pakuanzia hata tundu lenyewe hulioni
 
kingine mtoa mada tafuta kadem ambako ya ni unaona unakamudu vizuri kabisa na huna hofu

usitafute dem wa mashauzi wanakataga stimu sana
 
Pole sana. Mimi nimejitahidi kuangalia hii kitu ili kuendana na vijana wengine wanavyofanya. Ila ninapata kinyaaa mnoo nikiangalia
Yaani nikian tu video hii ndio tamaa ya kufanya hichi kitendo (ngono) inafifia kabisa.
Sijui kuna shida ipi kichwani mwangu

Ulishatuambia unanguvu za kichawi sasa nashangaa unaposema hutambui unanini kichwani
 
Ni kweli au story za kijiwe cha kahawa,
Hivi kweli pisi imekuja paja kule, tako kaa kachambia amira unaweza kuairisha harafu unazo ngenye za mwaka? zimejaa hadi pumb.. zinauma
 
Usitake matokeo ya haraka coz maamuzi ya kuacha ni magumu sana asikuambie mtu utakaa week then unarudi tena. ukiwa hauna msimamo kuna mdau apo juu amesema ukiweza uza pc uza ata hiyo simu but ni ww na akili yako na unatakaje kutoka kwenye hilo janga kikubwa ni akili yako na msimamo wako maana chanzo cha ttz ushajua ni mwanzo mzuri kikubwa fata ushauri unaogewa wote tumepitia huko
shukrani kaka
 
Acha uoga wewe fanya process kwa kujiamini kitu ikisimama chomeka haiwezi kuzimika kirahisi sema ukiguza uterezi tu unapiga bao
sasa na ishu ya kugusa utelezi unapiga bao itakata baada ya muda gani au ndio moja kwa moja nishajiaribu
 
Ni kweli au story za kijiwe cha kahawa,
Hivi kweli pisi imekuja paja kule, tako kaa kachambia amira unaweza kuairisha harafu unazo ngenye za mwaka? zimejaa hadi pumb.. zinauma
ni kweli bro mi mwenyewe sijielewi na dem mpaka sasa anielewi
 
Back
Top Bottom