Nina uraibu wa picha za utupu (Pornography)

Six Money finder

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
538
1,000
Mimi ni kijana wa miaka 25 nimekuwa muhanga wa picha za ngono kwa miaka mingi huku nikiwa sina mahusiano mengine maana zimeniathiri kiasi kwamba wasichana wote nawaona wa kawaida tu hata kutongoza kwangu kumekuwa shida sana.

Ila tatizo nimeanza kuliona juzi baada ya kumpata binti mmoja niliemfukuzia kwa miaka mingi, kwanza msichana kaja gheto hata ile mihemko sikuwa nayo pia kavua nguo mimi sistuki naona kawaida yani zile hisia zikaondoka iabidi nipange safari ya ghafla.

Siku nyingine pia msichana kaja nikazuga naumwa so hivi sasa imebidi nimkwepe kabisa ili kukwepa aibu japo akiwa ayupo nikimfikiria tu uume unasimama vizuri shida akija hisia zote uondoka.

Naombeni msaada wa mawwzo yenu kipi nifanye ili nirudi katika hali yangu ya kawaida na pia nikiacha kuangalia Pornography inaweza kunichukua muda gani kurudi katika hali yangu ya kawaida?
 
buimchizi

Member
Jun 26, 2017
62
150
Cha kwanza acha kucheki hzi picha cha pili acha kupiga puli cha tatu jiamini na cha nne fanya mazoezi na cha tano kula matunda kwa wingi na maji mengi na cha sita kila siku tengeneza chai ya tangawizi chukua tangawizi tatu zioshe vzr then ziponde vizr chemsha usitie majani ya chai iwe yenyewe kama yenyewe ukiweza changanya na asali kama unayo kama hauna kunywa kama ilivyo asubuhi na jioni ndani ya week utaona mabadiliko ila kikubwa jiamini ondoa hofu
 
funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
12,411
2,000
Tatizo lako sio porn tatizo lako ni kujichua. Halafu demu akija wala usishtuke na kukata tamaa wewe mvuae nguo halafu anza process kama kumkiss kumchezea manyonyo na kuzama chumvini.

Ile mihemko atakayokuwa nayo dushe litasimama lenyewe. Akili ndio inasimamisha so ondoa uoga kuwa umekuwa addicted sijui nn wewe anza mchakato utaona baada ya muda mambo yanakaa sawa.

Funzadume
Mpiga puchu mstaafu
 
Morg

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,209
2,000
Daaahh kweli hii Hali inakumba wengi Sana kwakeli chamsingi acha kuangalia hizo zaga kbsa ikiwezekana uza iyo smart phone au PC kifaa kinachokupelekea ww kuangalia hizo mishe futa all memory zote za hizo mishe na picha zote then kuwa mtu wa mazoezi kula vizur alaf jiamini ondoa uogo na ile Hali yakujiona kuwa huwez futa
 
Six Money finder

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
538
1,000
Nipe namba ya huyo Demu unayemkwepa,

Kuhusu tatizo lako sina ushauri wowote.
Tatizo lako sio porn tatizo lako ni kujichua. Halafu demu akija wala usishtuke na kukata tamaa wewe mvuae nguo halafu anza process kama kumkiss kumchezea manyonyo na kuzama chumvini. Ile mihemko atakayokuwa nayo dushe litasimama lenyewe. Akili ndio inasimamisha so ondoa uoga kuwa umekuwa addicted sijui nn wewe anza mchakato utaona baada ya muda mambo yanakaa sawa.

Funzadume
Mpiga puchu mstaafu
Tatizo lako sio porn tatizo lako ni kujichua. Halafu demu akija wala usishtuke na kukata tamaa wewe mvuae nguo halafu anza process kama kumkiss kumchezea manyonyo na kuzama chumvini. Ile mihemko atakayokuwa nayo dushe litasimama lenyewe. Akili ndio inasimamisha so ondoa uoga kuwa umekuwa addicted sijui nn wewe anza mchakato utaona baada ya muda mambo yanakaa sawa.

Funzadume
Mpiga puchu mstaafu
Cha kwanza acha kucheki hzi picha cha pili acha kupiga puli cha tatu jiamini na cha nne fanya mazoezi na cha tano kula matunda kwa wingi na maji mengi na cha sita kila siku tengeneza chai ya tangawizi chukua tangawizi tatu zioshe vzr then ziponde vizr chemsha usitie majani ya chai iwe yenyewe kama yenyewe ukiweza changanya na asali kama unayo kama hauna kunywa kama ilivyo asubuhi na jioni ndani ya week utaona mabadiliko ila kikubwa jiamini ondoa hofu

Sent from my EML-L29 using JamiiForums mobile app
ahsante sana kaka je nikiyafanya haya yote hizi taswira huweza kufutika baada ya muda gani yani nikawa kawaida ambapo hata ukiona mpaja tu unasisimka?

Naweza nikakubaliana nawewe kaka maana kuna siku kaja nikafanya hizo process ngoma ikawaka ila kuweka nikaogopa pengine mashine inaweza fia mlangoni
 
Six Money finder

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
538
1,000
Daaahh kweli hii Hali inakumba wengi Sana kwakeli chamsingi acha kuangalia hizo zaga kbsa ikiwezekana uza iyo smart phone au PC kifaa kinachokupelekea ww kuangalia hizo mishe futa all memory zote za hizo mishe na picha zote then kuwa mtu wa mazoezi kula vizur alaf jiamini ondoa uogo na ile Hali yakujiona kuwa huwez futa
Shukrani sana bro
 
buimchizi

Member
Jun 26, 2017
62
150
ahsante sana kaka je nikiyafanya haya yote hizi taswira huweza kufutika baada ya muda gani yani nikawa kawaida ambapo hata ukiona mpaja tu unasisimka?
ahsante sana kaka je nikiyafanya haya yote hizi taswira huweza kufutika baada ya muda gani yani nikawa kawaida ambapo hata ukiona mpaja tu unasisimka?
Usitake matokeo ya haraka coz maamuzi ya kuacha ni magumu sana asikuambie mtu utakaa week then unarudi tena. ukiwa hauna msimamo kuna mdau apo juu amesema ukiweza uza pc uza ata hiyo simu but ni ww na akili yako na unatakaje kutoka kwenye hilo janga kikubwa ni akili yako na msimamo wako maana chanzo cha ttz ushajua ni mwanzo mzuri kikubwa fata ushauri unaogewa wote tumepitia huko
 
funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
12,411
2,000
Naweza nikakubaliana nawewe kaka maana kuna siku kaja nikafanya hizo process ngoma ikawaka ila kuweka nikaogopa pengine mashine inaweza fia mlangoni
Acha uoga wewe fanya process kwa kujiamini kitu ikisimama chomeka haiwezi kuzimika kirahisi sema ukiguza uterezi tu unapiga bao
 
The Duke of Cambridge

JF-Expert Member
Nov 4, 2019
2,469
2,000
Tatizo lako sio porn tatizo lako ni kujichua. Halafu demu akija wala usishtuke na kukata tamaa wewe mvuae nguo halafu anza process kama kumkiss kumchezea manyonyo na kuzama chumvini.

Ile mihemko atakayokuwa nayo dushe litasimama lenyewe. Akili ndio inasimamisha so ondoa uoga kuwa umekuwa addicted sijui nn wewe anza mchakato utaona baada ya muda mambo yanakaa sawa.

Funzadume
Mpiga puchu mstaafu
Aiseee
 
tracebongo

JF-Expert Member
Nov 18, 2018
1,935
2,000
Mimi ni kijana wa miaka 25 nimekuwa muhanga wa picha za ngono kwa miaka mingi huku nikiwa sina mahusiano mengine maana zimeniathiri kiasi kwamba wasichana wote nawaona wa kawaida tu hata kutongoza kwangu kumekuwa shida sana.

Ila tatizo nimeanza kuliona juzi baada ya kumpata binti mmoja niliemfukuzia kwa miaka mingi, kwanza msichana kaja gheto hata ile mihemko sikuwa nayo pia kavua nguo mimi sistuki naona kawaida yani zile hisia zikaondoka iabidi nipange safari ya ghafla.

Siku nyingine pia msichana kaja nikazuga naumwa so hivi sasa imebidi nimkwepe kabisa ili kukwepa aibu japo akiwa ayupo nikimfikiria tu uume unasimama vizuri shida akija hisia zote uondoka.

Naombeni msaada wa mawwzo yenu kipi nifanye ili nirudi katika hali yangu ya kawaida na pia nikiacha kuangalia Pornography inaweza kunichukua muda gani kurudi katika hali yangu ya kawaida?
Tatizo lako ni uoga na kutojiamini.
 
katib mkoa

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,540
2,000
kw
Tatizo lako sio porn tatizo lako ni kujichua. Halafu demu akija wala usishtuke na kukata tamaa wewe mvuae nguo halafu anza process kama kumkiss kumchezea manyonyo na kuzama chumvini.

Ile mihemko atakayokuwa nayo dushe litasimama lenyewe. Akili ndio inasimamisha so ondoa uoga kuwa umekuwa addicted sijui nn wewe anza mchakato utaona baada ya muda mambo yanakaa sawa.

Funzadume
Mpiga puchu mstaafu
😆😆😆mpiga puch mstaafu

hali kama ioilikupitia enzi za puchu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom