Nina uhahika 98% hawajui hili

abari wa JamiiForum.

Najua imezoeleka katika jamii zetu kwa rika zote (watoto,vijana,wazazi, na hata wazee) aidha wasomi au wasio wasomi kutumia neno Nimekumiss pale unapomaanisha kumkumbuka mtu hasa uwepo wake. Hata hivyo neno mbadala la kiswahili ni Kupeza hivyo basi unaweza ukwamwambia mpendwa wako kuwa Nimekupeza
hili neno halijakaa romantic mademu zetu wataona kama tunawatukana bora tu tuendelee kumissiana
 
Habari wa JamiiForum.

Najua imezoeleka katika jamii zetu kwa rika zote (watoto,vijana,wazazi, na hata wazee) aidha wasomi au wasio wasomi kutumia neno Nimekumiss pale unapomaanisha kumkumbuka mtu hasa uwepo wake. Hata hivyo neno mbadala la kiswahili ni Kupeza hivyo basi unaweza ukwamwambia mpendwa wako kuwa Nimekupeza
Kiswahili kigumu sana... Japo tafsiri yake hapo ni KUKUHAMU
 
Back
Top Bottom