Nina typhoid sugu imekataa dawa. Nifanyeje?

ze jj

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
485
571
Habari za jioni ndugu zangu. nilisafiri kwenda kijiji flani nikatumia maji sio salama. sasa nkapata typhoid yaaani imekataa kupona. nmepima mpaka ukimwi sina.

Tatizo nn?
 
habari za jioni ndugu zangu. nilisafiri kwenda kijiji flani nikatumia maji sio salama. sasa nkapata typhoid yaaani imekataa kupona. nmepima mpaka ukimwi sina. Tatizo nn
Nitafute mimi nipate kukutibia siku 21 takuwa umepona na kusahau kam ulikuw aunayo maradhi ya (Typhoid) Homa ya matumbo.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Back
Top Bottom