Nina Tsh: 200,000 naomba ushauri ninunue Printer ya aina gani?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,029
Nina printer ya inkjet, naona inaprint karatasi chache kama 150 tu imeisha na wino ni bei,

Nimeshauriwa kununua laserjet printer.

Je ni ipi nzuri nayoweza kupata kwa bajeti ya laki 2
 
Angalia ambayo cost of ownership ni nafuu coz zingine bei chee cost of ownership ni hatari.
 
Laki 2 haitoshi mkuu
Ongeza ifike 380000/= nenda kariakoo
Nunua Epson L380 L381 au L382 yoyote utayokuta jati ya hizo
Utasahau kuhusu kuisha wino nakuhakikishia mwaka mzima utasahau bajeti ya wino km n matumizi yai ofisi tu
7bu ni zaidi ya page 10000/= na chupa ya ziada unapewa mbili zaidi za black
 
Nina printer ya inkjet, naona inaprint karatasi chache kama 150 tu imeisha na wino ni bei,

Nimeshauriwa kununua laserjet printer.

Je ni ipi nzuri nayoweza kupata kwa bajeti ya laki 2
Kununua laserjet bado sio suluhisho. Printer zinazofanya low-cost printing ni za inkjet zenye mitungi ya nje ya wino. Hapo naongelea Epson printers zaidi.
 
Laki 2 haitoshi mkuu
Ongeza ifike 380000/= nenda kariakoo
Nunua Epson L380 L381 au L382 yoyote utayokuta jati ya hizo
Utasahau kuhusu kuisha wino nakuhakikishia mwaka mzima utasahau bajeti ya wino km n matumizi yai ofisi tu
7bu ni zaidi ya page 10000/= na chupa ya ziada unapewa mbili zaidi za black
Kwa matumizi ya nyumbani,labda kwa mwezi copy 30,inabidi nichukue printer ya aina gani ya 3 in all?
 
Yaan unajua vipi mkuu ukinunua printer ya bei juu ghalama za uendeshaji zinakuwa chini na ukinunua prinyer bei nafuu ghalama za uendeshaji wino zinakuwa juu

Kwa mfano l380 series all in one ghalama laki 4
Bei ya wino vichupa nne original ni laki na 20
lkn zipo za vichupa vinne elf 20 za kawaida na zinafanya kazi safi kabisa ambapo unaprint zaidi ya page 10000 za rangi

Lkn hp deskjet 2130 seriel all in one bei ni laki 1 mpk laki na 20
bei cartridge ya wino mbili ni elf 70 ina uwezo wa kuprint page 220 na huwezi kujaza kimagumashi ukilazimisha kujaza unaua printa na ukinunua cartridge feki hazifanyi na unaua printa na hazidumu

Km matumizi yako ni page 30 kwa mwezi Kwa ushauri wangu nunua l380 unaweza ukapiga nayo hata miaka 5 bila kukusumbua chochote na ninakuhakikishia miaka 2 hutajaza wino hivyo utakuwa umesahau kabisa habari za kujaza wino na kwa kuwa utakuwa unatumia wino OG na page chache mwaka mzima una uhakika wa walanty toka epson 7bu waste ink pad hutakuwa hujafikia hivyo utajihakikishia walanty kwa mwaka 1

*waste ink pad ni counter katika epson printer
Yaan tuseme kama ukinunua pikipiki mpya au gari mpya wanatoa walanty mwaka 1 kukufanyia service lkn wanahesaba kilomita 5000 kwa mwaka 1 lkn wewe ukatembea hizo 5000 kwa miezi 6 walanty inakuwa imeisha

Basi katika epson pia wanahesabu idadi ya page unazoprint zikitimia hata km mwaka haujaisha walanty inakuwa imeisha ndo itafika hatua printa itakuletea ujumbe wa waste ink pad

Lkn km unataka fanya bajeti kwa kuwa huna matumizi makubwa sana pia unaweza nununua hizo hp deskjet zitakufaa itakuwa nafuu kipesa kwako
 
binafsi nina hio hp 2130 catridge moja elf 35, ilikuwa nikiprint page 120 wino unaisha naenda kununua tena. nlikiuwa na catridge kama 8 hivi zilizoisha ndio nikajuzwa kuna wanaojaza wino kwa elf 5, nilitumia elf 40 kuvijaza vyote na sijaona tatizo lolote.

Ila tu natafta printer nyingine
 
Mkuu sio km unaua papo hapo hapana
Kilichokusaidia mkuu ni kuwa una una catrdge tupu nyingi catridge moja ukijaza wino zaidi ya mara kwa mara unaharibu catrdge inapelekea kuua printer hvyo itakulazimu kununua catrige tu mpya lkn pia hata ubora wa printing unakuwa umepotea lkn kubwa zaidi inakera kujaza wino mara kwa mara lkn kwa epson hayo mambo hakuna ukijaza vitank full unasahau habari za wino

ila ni ushauri tu nimetoa vitu vya umeme vinahitaji matunzo na umakini
Hata hizo epson km sio mtunza inaweza ikafa hata miezi 6 isipite hivyo inategemea na matumizi
Lkn km tunazungumzia UBORA na maisha ya kitanzania EPSON L380 ni chaguo sahihi kwa unafuu wa uendeshaji na ubora wa printing nk
 
Yaan unajua vipi mkuu ukinunua printer ya bei juu ghalama za uendeshaji zinakuwa chini na ukinunua prinyer bei nafuu ghalama za uendeshaji wino zinakuwa juu

Kwa mfano l380 series all in one ghalama laki 4
Bei ya wino vichupa nne original ni laki na 20
lkn zipo za vichupa vinne elf 20 za kawaida na zinafanya kazi safi kabisa ambapo unaprint zaidi ya page 10000 za rangi

Lkn hp deskjet 2130 seriel all in one bei ni laki 1 mpk laki na 20
bei cartridge ya wino mbili ni elf 70 ina uwezo wa kuprint page 220 na huwezi kujaza kimagumashi ukilazimisha kujaza unaua printa na ukinunua cartridge feki hazifanyi na unaua printa na hazidumu

Km matumizi yako ni page 30 kwa mwezi Kwa ushauri wangu nunua l380 unaweza ukapiga nayo hata miaka 5 bila kukusumbua chochote na ninakuhakikishia miaka 2 hutajaza wino hivyo utakuwa umesahau kabisa habari za kujaza wino na kwa kuwa utakuwa unatumia wino OG na page chache mwaka mzima una uhakika wa walanty toka epson 7bu waste ink pad hutakuwa hujafikia hivyo utajihakikishia walanty kwa mwaka 1

*waste ink pad ni counter katika epson printer
Yaan tuseme kama ukinunua pikipiki mpya au gari mpya wanatoa walanty mwaka 1 kukufanyia service lkn wanahesaba kilomita 5000 kwa mwaka 1 lkn wewe ukatembea hizo 5000 kwa miezi 6 walanty inakuwa imeisha

Basi katika epson pia wanahesabu idadi ya page unazoprint zikitimia hata km mwaka haujaisha walanty inakuwa imeisha ndo itafika hatua printa itakuletea ujumbe wa waste ink pad

Lkn km unataka fanya bajeti kwa kuwa huna matumizi makubwa sana pia unaweza nununua hizo hp deskjet zitakufaa itakuwa nafuu kipesa kwako
Ahsante sana kiongozi
 
Back
Top Bottom