nina toa password kwenye computers

Zait

New Member
Nov 21, 2012
3
0
kwa wale wenye matatizo ya kutojua watapataje acess kwenye computer zao,hapa nipo ninaeweza kutoa password
 
computer yako, password yako, bado tena iwe shida. naomba uhamasishaji huu kwa namna moja ama nyingine uachwe, maana tutashindwa kutembea na vimashine vyetu, kwa sababu tu kuna mtu ataitoa password.
 
kwa wale wenye matatizo ya kutojua watapataje acess kwenye computer zao,hapa nipo ninaeweza kutoa password
Toa ufafanuzi.
1. Unatoa BIOS password
2. Windows password
3. Other OS password like Ubuntu, MAC .....

Kama window kunasoftware zipo za kutolea hiyo kitu.
 
atuambie anatoa na flashrom pswd??? Kama za windows admin hata mwanangu anajua kuzitoa tena bureeeeeee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom