carlos kifaru
Member
- Sep 24, 2013
- 12
- 2
Naomba msaada jinsi ya kupata network ya H+ kwenye Tecno j5
3g iko very slow
3g iko very slow
Mkuu j5 Haina h+ g3 yake ina nguvu kama H+ tu labda setting zako Mm ndio nayotumia mwaka 3 sasaNaomba msaada jinsi ya kupata network ya H+ kwenye Tecno j5
3g iko very slow
Inachozingua ni auto 3g 2g basiMkuu j5 Haina h+ g3 yake ina nguvu kama H+ tu labda setting zako Mm ndio nayotumia mwaka 3 sasa
Pamoja mkuuInachozingua ni auto 3g 2g basi
NashukuruWali configure kwa mtindo huo ili ku minimize power consumption hata C8 ilitoka ikiwa unaona 3g muda wote no H wala H+ watu wakalalamika wakatoa updates zilizo clear ilo suala