Nina tecko j5 toka ninunue haijawai panda H+, msaada tafadhali

Wali configure kwa mtindo huo ili ku minimize power consumption hata C8 ilitoka ikiwa unaona 3g muda wote no H wala H+ watu wakalalamika wakatoa updates zilizo clear ilo suala
 
Back
Top Bottom