samahani hi Ngozi ya sehemu gani?
nimeuliza tuHiyo ni tak*.. Kwan ulikuwa unasemaje ?
samahani hi Ngozi ya sehemu gani?
ok sawa maana kuna dawa zingine huwa zinaandikwa for external use onlyPaja
#Dawa ya ngozi iliyo kua kwenye mfumo wa sabuni kiboko ya chunusi sugu na mabakaHabari zenu wana JF , samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kua mficha uchi azai.
Picha znajionesha tatzo linalonikabili ni hili hapo kwenye pichaView attachment 1185412View attachment 1185413