Nina Tatizo na my blackberry curve 9360 ID | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina Tatizo na my blackberry curve 9360 ID

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by dazipozi, Sep 30, 2012.

 1. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mambo vipi wa kubwa nina tatizo kidogo kuhusu my BB CURVE 9360 nihivi hii simu mwenye amefariki sasa kapewa Mdogo wake atumia sasa tatizo ukiweka Line nyingine tofauti na ile ya Mwanzo inakwambia uingize BB ID ambacho sisi na yeye hatukijui kwahiyo anashindwa kutumia simu,sasa nilikuwa naomba msaada jinsi yakuweza kuitumia iyo simu ili iweze kuingiza line nyingine kama kawaida ni hayo tu
   
 2. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Nenda online ...https://blackberryid.blackberry.com/bbid/registration/registration_eula.seam register a new Blackbery id, rudi kwa bb yako login and bingo iyour done
   
 3. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
Loading...