Nina tatizo na laptop yangu Dell D610 naomba msaada

Magezi

JF-Expert Member
Oct 26, 2008
3,359
692
Kila napojaribu ku-shutdown ina hang sijui nianzie wapi......mwenye clues anisaidie mawazo.
 
Typically when lockups occur,
you should go through the
msconfig utility to remove
unecessary programs from
starting when your computer
does. This will also make your
 
Mkuu sija kupata vyema...

Click start nenda palipoandikwa run alafu andika msconfig pale kwenye text box ilofunguka alafu bonyeza enter. Hapo itafunguka window nyingine hapo hapo utaenda sehemu iliyoandikwa startup utaclick then hapo uta uncheck software ambazo ni unnecessary ambapo huwa zina run katika background. Kama shida itaendelea jaribu ku-uninstall sound driver alaf jaribu tena kama itadelay kuzima. Na kama utagundua sound driver ndio tatizo wakati unairudishia hakikisha hiyo driver iko asigned, ukishindwa kutambua kama driver iko asigned then conect comptr yako kwenye intrnet then itafute perfect drv yake yenyewe.
 
Unajua unapoomba msaada halafu wewe mwenyewe hawezi kujieleza sisi tutakusaidiaje?

weka spec za computer yako
1.inarun OS gani?
2. Inatumia Antivirus gani? ipo active?
3. ina memory kiasi gani?

Je wakati unatumia processor inaover heart?

Mara ya mwisho kuscan virus ni lini?
 
Click start nenda palipoandikwa run alafu andika msconfig pale kwenye text box ilofunguka alafu bonyeza enter. Hapo itafunguka window nyingine hapo hapo utaenda sehemu iliyoandikwa startup utaclick then hapo uta uncheck software ambazo ni unnecessary ambapo huwa zina run katika background. Kama shida itaendelea jaribu ku-uninstall sound driver alaf jaribu tena kama itadelay kuzima. Na kama utagundua sound driver ndio tatizo wakati unairudishia hakikisha hiyo driver iko asigned, ukishindwa kutambua kama driver iko asigned then conect comptr yako kwenye intrnet then itafute perfect drv yake yenyewe.

Asante mkuu ntatumia options hizi bahati mbaya nilipata hasira na nime-format na sasa naiangalia, kwa sasa naona inaendelea vizuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom