Nina tatizo la mguu na mkono naweza kuendesha gari?

pandagichiza

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
4,890
3,299
Niliparalyse mguu na mkono wa kulia.Nimejaribu kuendesha baiskeli nimeshindwa.

Kwa mguu na mkono wa kushoto pekee naweza kuendesha gari?
 
Nakushauri achana na wazo la kuendesha gari kwa sasa pambana na omba Mungu uboreshe afya yako kwanza gari itakuletea janga lingine.
 
Niliparalyse mguu na mkono wa kulia.Nimejaribu kuendesha baiskeli nimeshindwa.
Kwa mguu na mkono wa kushoto pekee naweza kuendesha gari?
Pole sana mkuu.Inawezekana kwa automatic car,ila unahitaji mazoezi ya kutosha coz right hand automatic car imetengenezwa kwa ajili ya mguu wa kulia ktk kukanyaga accelerator na break!
 
Sina uhakika Kama sheria zetu za usalama barabarani zinaruhusu! Nakumbuka Yule mbunge alipataga ajali ikasemekana hakupaswa kupewa leseni !
 
Nakushauri achana na wazo la kuendesha gari kwa sasa pambana na omba Mungu uboreshe afya yako kwanza gari itakuletea janga lingine.
achana na mawazo ya kimaskini wewe, yaani ashindwe kuendelea na shughuli zake kuwaza majanga? kwa taarifa yako kuna watu hawana mikono na wanaendesha magari.
 
achana na mawazo ya kimaskini wewe, yaani ashindwe kuendelea na shughuli zake kuwaza majanga? kwa taarifa yako kuna watu hawana mikono na wanaendesha magari.

Kuboresha afya yake kwanza ndio mawazo ya kimaskini? Huyo ambae hana mikono na kuendesha yuko wapi?

Afya ya akili ni tatizo kwa watu wengi ingawa bado mnazurura mitaani na ukiona kaomba ushauri ujue kakutana na ugumu alafu kwa kukusaidia kuna sheria za barabarani pia sio unaingia barabarani.
 
Inawezeka
Niliparalyse mguu na mkono wa kulia.Nimejaribu kuendesha baiskeli nimeshindwa.

Kwa mguu na mkono wa kushoto pekee naweza kuendesha gari?
Ndiyo! Inawezekana. Ninarafiki zangu wanne walemavu (wamelemaa kabisa miguu yote Ila Mikono ni wazima) wanaendesha malaria. Prado, Noah, Nissan gari zao ni automatic. Wamezimodify tu. Wanatumia kirungu kushika break na kuachia au kukanyaga accelerator
 
Back
Top Bottom