Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Wakuu naombeni ushauri,
Kila ninapomaliza kufanya mapenzi na mwanamke/msichana napoteza hamu kabisa hata ya siku nyingine kutaka kumrudia tena.
Nakuwa kama player wakati hii tabia mimi siipendi. Ni mwanamke mmoja tu ambaye toka nizaliwe mpaka leo tukikutana tunafanya mapenzi haswaa na bado naendelea kumtamani. Huyu ni msichana ambaye tulikuwa wapenzi kipindi tupo A-level, sasa wote tulishamaliza chuo tunafanya kazi ila tupo maeneo tofauti.
Kila tunapokutana tunafanya mapenzi na tunaendelea kutamaniana. Ila technically hatupo wapenzi sasa maana yeye kachumbiwa tayari na mimi pia nina mchumba mwingine ila tunachepuka sana tu.
Wengine wote nikifanya nao mapenzi sitamani tena kuwarudia.
Wakuu hebu nipeni ushauri maana sijielewi vile.