Nina tatizo la kutoka majimaji ukeni yanayosababisha kuwasha sehemu za mashavu ya uke

lyungama

Member
Jun 17, 2019
41
114
Habari,

Mimi nina tatizo la kutoka majimaji ukeni yanayosababisha kuwasha sehemu za mashavu ya uke hali inayopelekea kujikuna saana na kutoka vidonda.

Nimeenda hospital napewa vidonge na dawa ya kupaka hakuna nafuu nardi tena nabadilishiwa dawa Hali Iko palelale mwisho nimeamua kumwomba Mungu nimechoka na vidonge na dawa nisaidieni watalamu wetu.
 
Habari Mimi nina tatizo la kutoka majimaji ukeni yanayosababisha kuwasha sehemu za mashavu ya uke hali inayopelekea kujikuna saana na kutoka vidonda nimeenda hospital napewa vidonge na dawa ya kupaka hakuna nafuu nardi tena nabadilishiwa dawa Hali Iko palelale mwisho nimeamua kumwomba Mungu nimechoka na vidonge na dawa nisaidieni watalamu wetu
Ukitibiwa unaendelea kukutana na mwenza wako? Maana isijekua ugonjwa unautoa kwa mwanaume na hajatibiwa bado so unakua unazunguka tu
 
Lete picha mkuu.
 
Dr maji hayana harufu na yanatoka Kila wakati mwanzo kabisa ilianza nikatibiwa Hadi nikatolewa kinyama pembeni baadae majiubu kuja nina saratani nikapjga mionzi nikamaliza nkapata nafuu kama miezi sita huku nikiatend clinic namwambia bingwa ananipa dawa baadae akaniambia Kwa mionzi tuliyokupa hakuna satatan sana sana tutakuunguza Sasa majimaji kama yote navaa pad nfanyeje na utu uzima huu
 
Ukitibiwa unaendelea kukutana na mwenza wako? Maana isijekua ugonjwa unautoa kwa mwanaume na hajatibiwa bado so unakua unazunguka tu
Na hii ndio hua sababu kubwa, kama ana mwenza inabidi wakatibiwe wote, lasivyo hatapona
 
Habari Mimi nina tatizo la kutoka majimaji ukeni yanayosababisha kuwasha sehemu za mashavu ya uke hali inayopelekea kujikuna saana na kutoka vidonda nimeenda hospital napewa vidonge na dawa ya kupaka hakuna nafuu nardi tena nabadilishiwa dawa Hali Iko palelale mwisho nimeamua kumwomba Mungu nimechoka na vidonge na dawa nisaidieni watalamu wetu

Kama umefika level ya Hospital kubwa Kama Aga Khan, mwombe Mungu tu; Huku jamii forum, mh sijui.
 
Inatakiwa kufahamu una tatizo gani na sio kupewa madawa tu. Na maombi bila dawa KAMWE HAUTAPONA. Hayo majimaji yana harufu mbaya? Na yana rangi gani? Kuna shughuli au kitu kinachosababisha yatoke? Yanatoka mara ngapi kwa siku? Hayo maswali yatasaidia kukupa mwongozo. Pole na changamoto

Dawa Na Maombi havoc hangs
 
Dr maji hayana harufu na yanatoka Kila wakati mwanzo kabisa ilianza nikatibiwa Hadi nikatolewa kinyama pembeni baadae majiubu kuja nina saratani nikapjga mionzi nikamaliza nkapata nafuu kama miezi sita huku nikiatend clinic namwambia bingwa ananipa dawa baadae akaniambia Kwa mionzi tuliyokupa hakuna satatan sana sana tutakuunguza Sasa majimaji kama yote navaa pad nfanyeje na utu uzima huu

Kumbe Ni saratani? Pole Sana! Ulifakiwa useme yote haya mwanzoni, watakushauri!

Sio kukukatisha tamaa Ila Mazara Na hazma zinazosababishwa Na saratani huwa Ni kuishi nazo tu, au ku opt maombi serious!

Maombi yanaponya; sema watu wengi wamefanya vibaya Na Kuwa waondo ndo maana Ni changamoto kuamini.

Maombi sio Kwenda kuombewa tu, utakata tamaa mapema Sana, tafuta mistari ya Biblia ya uponyaji, soma kila siku, irudie kila siku, itafakari kila siku then utakuja niambia
 
Ukitibiwa unaendelea kukutana na mwenza wako? Maana isijekua ugonjwa unautoa kwa mwanaume na hajatibiwa bado so unakua unazunguka tu

Hii ni 100%

Unajitibia kumbe tatizo lipo kwa mwenzako
 
Dr maji hayana harufu na yanatoka Kila wakati mwanzo kabisa ilianza nikatibiwa Hadi nikatolewa kinyama pembeni baadae majiubu kuja nina saratani nikapjga mionzi nikamaliza nkapata nafuu kama miezi sita huku nikiatend clinic namwambia bingwa ananipa dawa baadae akaniambia Kwa mionzi tuliyokupa hakuna satatan sana sana tutakuunguza Sasa majimaji kama yote navaa pad nfanyeje na utu uzima huu
Pole sana, labda ni side effects za hiyo mionzi.
Jaribu kwenda hospital kubwa unaweza pata msaada
 
Dr maji hayana harufu na yanatoka Kila wakati mwanzo kabisa ilianza nikatibiwa Hadi nikatolewa kinyama pembeni baadae majiubu kuja nina saratani nikapjga mionzi nikamaliza nkapata nafuu kama miezi sita huku nikiatend clinic namwambia bingwa ananipa dawa baadae akaniambia Kwa mionzi tuliyokupa hakuna satatan sana sana tutakuunguza Sasa majimaji kama yote navaa pad nfanyeje na utu uzima huu
Tatizo ni hyo saratan ndo chanzo..na hayo maj kama hayana harufu nahis ndo dawa yenyew..Mwil wa binadam ni limashine liko coordinated...nahis saratan ilisababisha unequilibrium kwenye viungo vyako vya uzaz hayo maj yanawasha sabab yana acid ya kuua wadudu.

maana yake eneo lako hilo la uzaz sabab ya saratan limekua kikishambuliwa na wadudu so hayo maj ni mwil una react ili kutengeneza dawa ya kuua hao wadudu ndomana unatengeneza maj meng yenye dawa ya asil kuu wadudu..ukifosi kuyakata hayo maj bila kupambana kutib chanzi kikuu nahis utakuletea madhara zaid..

nahis ukae utulie na labda badili daktar..nenda ocean road pale ndo kitivo cha hyo kitu utapata majib yote..agakhan utabahatisha tuu
 
Tatizo ni hyo saratan ndo chanzo..na hayo maj kama hayana harufu nahis ndo dawa yenyew..Mwil wa binadam ni limashine liko coordinated...nahis saratan ilisababisha...
Wadudu tena? Kwani saratani inasababishwa na wadudu wapi?
 
Duh...elim elim elim

Kwan ukiamka asubuh kwanin mdomo unatoa haruf?

Au ukiumia ukapata kidonda kwann usipotibu unatoka usaha?

Au kwann uke wa mwanamke hutoa haruf mbaya au kwann mtu hutoa haruf ya kikwapa...

Unaelewa lakin au ndo huelew chochote.
 
Naomba mistari ya uponyaji nisone nirudie nitembee nayo
Mimi nakushauri usigandane na daktari mmoja, inawezekana kulikua na njia mbadala nzuri ya kukutibu pasina kutumia mionzi au pengine daktari mwngn angegundua chanzo kingine.

Iwapo utatembea hospitali kadhaa na kila daktri akakwambia kitu kimoja basi ujue apo kweli hunaa option nyingine.

Nimekushauri ivi kutokana na uzoefu wa kumuuguza mzee wangu ambae alikua anasumbuliw na maradhi mbalimbali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom