Nina tatizo la kusikia kizunguzungu na kutapika endapo tu nitafanya kazi yeyote ya kufanya nipumue kwa haraka

Snipes

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
8,920
16,199
Habarini Wanajamvi..

nina tatizo la kusikia kizunguzungu na kutapika endapo tu kama nitafanya kazi yeyote ya kufanya nipumue kwa haraka au nikifanya mazoezi ya kukimbia haitonichukua dakika 30 lazima nitatapika.

naomba kujua hili linasababishwa na nini??

sina utaratibu wa kufanya mazoezi mara kwa mara.
 
Pole sana mkuu
Kwa maana hiyo hata shuti zako kwenye mechi pendwa kitandani zinagonga besela? Tafuta ufumbuzi wa kudumu wa hilo tatizo
 
Pole sana mkuu
Kwa maana hiyo hata shuti zako kwenye mechi pendwa kitandani zinagonga besela? Tafuta ufumbuzi wa kudumu wa hilo tatizo
si kila zoezi unahitaji utumie nguvu mengine ni akili tu....asante
;););)
 
Back
Top Bottom