Nina tatizo la kutoa hewa chafu kila baada ya dakika mbili au tatu naombeni msaada

Kuna mdau alitoa jibu kuwa tangawizi inasaidia tafuna kwa siku saba kama hauwezi itwange changanya na maji chemsha. mchemsho mwenyewe uwe na tangawizi nyingi kiasi kwamba ukisogeza pua utapiga chafya,ipua unywe itakuondolea hali hio.

Mdau mwenye ushauri huo orijino nimesahau ID yako sijaiba idea yako makusudi
 
Jitahidi kula sana matunda,upunguze vyakula vya wanga na utapata choo kwa wakati,tumbo imejaa gas hiyo either unakaa na njaa muda mrefu au hupati choo vizuri deal na utaratibu wa chakula chako.
 
Njoo Kuna bunzi maalum nikuzibe kijambio,hutajamba Tena sheikh....au mtafute kidagaa anayo hio dawa pia
 
Habari zenu Wana JF

Poleni na misukosuko ya maisha.

Mimi nina tatizo la kujamba kila baada ya dk mbili yaani tweti four hours na hili tatizo lilianza tangu nije apa kwa wahindi maana nakaa upanga ni mwanaume nafanya kazi ya kusafisha nyumba na bustani pia.

Sihitaji kejeli naomba kwa Anaejua dawa yake maana inafika wakat hata kukaa na wenzangu naona aibu inakuwa kero kwao.

Asanteni.
Huu ni mwaka wa Mpwayungu Mzee wa chai
 
Tumbo lako ni engine. Kuna chemical processes going on. Lazima iwepo exhaust gas.
Labda umekula maharage. Pythagoras alikuwa anawakataza wanafunzi wake kila maharage.
Au unakula vyakula vya ndimu na limau.
Au soda.
 
wewe jamaa Muongo sana aisee,, kama ni kwlei wahindi walishabutua marinda Daah mpwayungu ndio hivyoo umekuwa bwabwa ndio maana kwenye ule uzi wako wa Lindi ulizira ukaleta nyodo za kidemu demu kumbe wewe Bwabwa
 
Daaaa! weye bana huoni km una bahati wewe kijana!....fanya hivi gema hiyo GAS! then uza utapata hela si ya dunia hiii!!...watu wengi hawana gas ya kupikia majumbani humo!

ukiwa mjanja hao hao wahindi utawauzia!
 
Habari zenu Wana JF

Poleni na misukosuko ya maisha.

Mimi nina tatizo la kujamba kila baada ya dk mbili yaani tweti four hours na hili tatizo lilianza tangu nije apa kwa wahindi maana nakaa upanga ni mwanaume nafanya kazi ya kusafisha nyumba na bustani pia.

Sihitaji kejeli naomba kwa Anaejua dawa yake maana inafika wakat hata kukaa na wenzangu naona aibu inakuwa kero kwao.

Asanteni.
Angalia unachokula na muda wa kula pia. Kula milo 2 hadi 3 tu.
Kunywa maji mengi. Kula vitu vibichi
 
Back
Top Bottom