Nina tatizo la hornmones???? Napenda sana ku-do... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina tatizo la hornmones???? Napenda sana ku-do...

Discussion in 'JF Doctor' started by stroke, Jun 28, 2012.

 1. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,384
  Likes Received: 6,563
  Trophy Points: 280
  No matter how many rounds i go.. hamu bado iko pale pale..kuna siku my x aliamua kunikomesha we did t kuanzia ijioni mpaka kesho yake asubuhi..lakini hamu haikuisha..nina tatizo la hormones au nini...maana nimeona articles kua kusimama sana kwa uume kila mara kuna leta matatizo ya moyo..naona naelekea huko maana uume wangu unasimama kila mara mpaka unauma...nikipewa nataka tena na tena na tena...hamu haiishi..na uume hauchoki..NIna matatizo?? Tiba yake ni nini??
   
 2. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,075
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  lol.. tumsubiri Dr. mzizi mkavu
   
 3. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,026
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Pole mwayego!

  Bazazi1
   
 4. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hashindwi kitu yule lol
   
 5. M

  Mundu JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Una umri gani kwani mtoa mada?
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Duh unabalaa kubwa.
   
 7. b

  blacktanzanite Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  okey wewe jiboreshe zaidi ili uje upate kuwa star katika swala zima la nonino...na liweze kukuingizia kipato kwani nikipaji hichoooooo na kinapaswa kukuzwa
   
 8. doup

  doup JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  nimepita kuangalia majibu ya wataalamu, c u baadae
   
 9. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,384
  Likes Received: 6,563
  Trophy Points: 280
  30..hii imekua ni mateso
   
 11. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,384
  Likes Received: 6,563
  Trophy Points: 280
  Asante Charming..kweli nahitaji msaada wa matibabu..naona noma kwenda hospital nitaanza kusema naumwa ugonjwa gani?? watanielewa kweli??
   
 12. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Mwanaume (pia: mwanamume) ni binadamu wa kiume. Kwa kawaida ni mtu mzima anayeitwa hivi kwani wanaume wadogo huitwa watoto wa kiume tu au wavulana.
  Wanaume ni takriban nusu ya binadamu, wengine huwa wanawake. Wanaume na wanawake ni jinsia mbili ambazo zinahesabiwa kwa kawaida kati ya binadamu.
  Kuna tabia za pekee katika maumbile ya mwili. Wanaume huwa na viungo vya uzazi vya kiume ambavyo ni pekee kama vile **** (uume, dhahakari) na pumbu (korodani). Wakati wa kubalehe homoni ya testosteroni inaongezeka mwilini mwa mwanaume na kusababisha tabia kama sauti ya chini, kongezeka ya nywele mwilini (kwa mfano ndevu), kuongezeka kwa upana wa mabega na kiwango cha musuli mwilini kulingana na wanawake. Msingi wa tofauti hizi ni hasa chembeuzi kinachoitwa "Y" yaani wanaume wana jozi la vyembeuzi "X" na "Y" ndani ya seli zao lakini wanawake wana jozi la "X" mbili. Chemebuzi ya Y inabeba habari zote zinazomfanya mwanadamu kukua kama mwanaume badala ya mwanamke.

  Lakini si tofauti za mwilini pekee zinazosababisha wanaume kuwa tofauti na wanawake. Kuna pia tabia za kiakili na kiroho za pekee zinazoonekana kati ya wanaume wengi. Hata hivyo tofauti nyingi zinategemea pia utamaduni kwa sababu mara nyingi watu wamepanga shughuli na pia namna ya maisha tofauti kwa wanaume na wanawake na watu wamezoea kuchukua matokeo ya mapatano haya kama jambo la kimaumbile hata kama ni kiutamaduni tu.

  Pamoja na hayo kuna wanaume wasio wachache sana wenye tabia zinazotazamiwa kuwa za kike kwa sababu miili yao huwa na viwango tofauti za homoni kama testosteroni na estrogeni. Kuna watu kadhaa wenye mwili wa kiume wanaojisikia kuwa wanawake

  wewe inaonyesha una homoni nyingi mwilini mwako.
  Ushauri wangu ninao kupa fanya hivi wakati upo na mpenzi wako au mke wako jaribu kwanza unapotaka kufanya nae mapenzi kwa mara ya

  kwanza awe anakuchezea sana uume wako mpaka umwage nje goli la kwanza kisha ndipo

  safari ya pili ya mapenzi yenu akuchezee tena ndipo sasa waweza kumuingilia hiyo

  itasaidia kupunguza nguvu zako za kiume. Na pia penda kunywa sana maji baridi,au baada ya kunywa chai asubuhi kunya maji baridi au vyakula

  vyenye mafuta mafuta na fanya akazi za nguvu ili uweze kuchoka mwili wako, hiyo pia

  itasaidia kupunguza hizo homoni zako nyingi. Una miaka mingapi wewe? Kama bado ni kijana ukifisha umri wa miaka 45 na kuendelea utapunguwa hizo nguvu zako za kiume

  Otomatic pasipona kufanya Dawa yoyote ile mimi ninakushauri fanya kazi sana za nguvu jitume sana ukirudi nyumbani utakuwa umechoka mwili kisha jaribu kumuingilia mwanamke wako utakuta umepunguwa hizo nguvu zako jaribu kisha unipe feedback.Mkuu.@
  stroke
   
 13. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Tiba ya kubadilisha Homoni zinazofanana kibayolojia


  Tiba ya kubadilisha Homoni zinazofanana kibayolojia (BHRT), pia inajulikana kama Tiba ya homoni zinazofanana kibayolojia au homoni tiba asili ni mgonjwa-hufafanuliwa muda kwa ujumla kwamba mara nyingi inahusu matumizi ya s homoni kwamba ni molecularly

  kufanana na homoni endogenous katika matibabu ya homoni uingizwaji, bali pia kwa nguvu yanayohusiana na pharmacy compounding,

  damu au kupima mate, jitihada za kufikia kiwango walengwa wa homoni katika mwili (kama imara kwa njia ya damu au mate kupima) na

  chumvi, madai unfounded ya usalama na effektiva. Homoni maalum zinazotumika katika BHRT ni pamoja na estroni, estradioli na

  projesteroni, ambazo zinapatikana zote katika bidhaa za viwandani zilizopitishwa na FDA na kama bidhaa za mchangamyiko wa famasia na

  pia Testosteroni, dehidroepiandrosteroni (DHEA) na estrioli ambazo hazijapitishwa kwa ajili ya matumizi katika Kanada na Marekani.

  Matumizi ya BHRT iliyochanganywa ni mazoea ambayo kimsingi yananaonekana katika Marekani. Watetezi wameipigia debe BHRT kama

  tiba ya kila kitu kwa karibu wote badala ya njia ya kupunguza dalili za wanawake ambao wamemaliza kuzaa na / au kupunguza hatari

  ya osteoporosisi (malengo ya matibabu ya kubadilisha homoni ya jadi), lakini hakuna ushahidi wa kuunga mkono madai hayo na homoni

  zinatarajiwa kuwa na hatari na faida ya kiwango ya kupitishwa kwa madawa ya kulevya kulinganishwa ambayo kuna ushahidi wa msingi

  pamoja na utafiti wa kina na kanuni (isipokuwa ni progesterone ambayo inaweza kuwa na kuboresha usalama profile, ingawa moja kwa

  moja kulinganisha na s progestin na si alifanya). Homoni zin sasa pia hatari ya ziada kutokana na mchakato wa kuchanganya dawa.

  Aidha, usahihi na ufanisi wa kupima mate haujawahi kuthibitishwa kabisa, na madhara ya muda mrefu ya kutumia kupima damu kwa lengo la kufikia viwango vya homoni vinavyohitajika haujawahi kufanyiwa utafiti.


  Ushirika wa Kimataifa wa Waliocha kuzaa, Chuo cha Marekani cha madaktari wa Kuzaa na Wanajikolojia, Shirika la madaktari wa uzazi

  na Wanajikolojia wa Kanada, Chama cha Endokrini, Shirika la waliomaliza kuzaa la Marekani Kaskazini(NAMS), Utawala wa Marekani

  wa Chakula na Dawa, Chama cha Marekani cha Wanaendokrini wa kikliniki, Ushirika wa Afya wa Marekani, Shirika la Saratani la

  Marekani na Kliniki ya Mayo vimetoa taarifa ilidai kwamba kuna ukosefu wa ushahidi kwamba faida na hatari za homoni zinazofanana

  kibayolojia ni tofauti na tiba zilizotafitiwa vizuri zisizo za homoni zinazofanana kibayolojia , kwamba mpaka ushahidi kama huo

  utakapotolewa hatari zinafaa zichukuliwe kuwa sawa, na kwamba bidhaa za homoni zinaweza kuwa na hatari za ziada kutokanana na

  kuchanganya. Swala kubwa la usalama linalotokana na tiba kubadilishwa kwa homoni zinazofanana kibayolojia ni kwamba hakuna sharti

  la kujumuisha vilivyoingizwa kwenye paket licha ya uwezekano wa madhara makubwa mabaya, pamoja na kuhatarisha maisha athari

  mbaya, kuwa kuhusishwa na HRT. Hii inaweza kusababisha watumiaji kudanganyika na skadas hata kama wao ni kupotosha katika

  kuamini kwamba BHRT ni salama na ina Hakuna madhara. Mashirika ya Udhibiti yanahitaji famasia kushirikisha habari muhimu za

  usalama na tiba za kisasa za kubadilisha homoni (CHRT) kupitia viingizi vya paket.

  Ukitaka zaidi bonyeza hapa
  http://sw.wikipedia.org/wiki/Tiba_ya_kubadilisha_Homoni_zinazofanana_kibayolojia
   
 14. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Lazima utakuwa umelogwa kwa mizizi ya Mkuyati
   
 15. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  kazi ipo, huyo aliesema jamaa achezewe zakhali yake, ni hatari ataumia zaidi, namshauri kwa kuwa nilihisi tatizo kama lake, akipizi asitoe, aendelee kama

  atapizz vinne au vitano humohumo mara kwa mara tatizo lake litaisha.

  Pia namshauri asiache kufanya tendo na mkewe, inaonekana ni mgeni kwenye ndoa, sasa anajisikia hamu kla mara, si ugonjwa ni ugeni, tahadhari ni kuwa

  kufanya kila awapo na mkewe na naiwe na mke nae anapenda, kama mke hapendi ni tatizo, inabidi apate tiba za kitabibu, kwa sasa ushauri kama

  kufanyakazi ngumu ni sawa lakini nashauri afanye kama kawaida kazi zake za kila siku, madhara ya kufany akzi za nguvu inamaana kuna athari baadae,

  lazima impakti imkute, nashauri awe normal na ale kawaida, apunguze protein kama nyama na nafaka apunguze. aendelee na maisha hiyo kitu wenzako

  wanaitafuta wewe unapunguza!
   
 16. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,384
  Likes Received: 6,563
  Trophy Points: 280
  Mkuu mpaka kufikia hapa..nimepata mateso mengi sana mkuu, yaani mpaka kuna wakati nafikiria kuikata hii kitu labda nitaishi kwa amani...ikiamua kuwa wima imeamua haikai chini..
   
 17. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 2,172
  Trophy Points: 280
  Mie nilijua Madaktari wamegoma hutopata jibu so umeenda hospital ukawakuta wamegoma sasa umeona uje jf hongera umewapata
   
 18. Meljons

  Meljons JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 2,591
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  natamani kuwa mkeo wa pili. Wengine tumechoka anakojoa kama jogoo..,kisha usingizi huooo!
   
 19. s

  slym Member

  #19
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  :israel:lol
   
 20. M

  Mundu JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Kama una umri huo, then kweli unahitaji msaada...Mzizi Mkavu ameshakupa hints za ukweli...Ila angalia..vyakula vya mafuta si vizuri sana.
   
Loading...