Nina tatizo la hamu ya ngono mara kwa mara. Je, ni ugonjwa?

Status
Not open for further replies.
Je, hii hali huletwa na nini na dawa yake ni nini? Ni nguvu za giza au ni hali ya kawaida tu kwa mwanamke yoyote? Au ni sababu ya vyakula nnavyotumia?

Ushauri please

Mkuu Malila,

Ni kweli vyakula navyo huchochea hamu ya tendo la ndoa. Ni vyakula gani? Vifahamu kupitia uzi huu > Vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa kwa haraka kwa mwanamke

Hata hivyo kuna madhara ya kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara. Madhara yake yaliwahi kuelezwa kwa kina hapa > Madhara ya kufanya mapenzi mara kwa mara

Asante.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom