Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,618
- 30,576
Naomba msaada wenu,ni kwamba kwenye koradani zangukwa kuna vikoradani vingine vidogo katika korodani.katika koradani la kushuto kuna kakorodani kadogo kamejishikisha kwenye korodani kubwa na upande wa kulia hako ka korodani hakajishikisha (kapo peke yake).
Hivi vikorodani nilianza kuvisikia toka nilipokuwa na Miaka 9 hadi leo nina miaka 28 kadri umri unavyokwenda naona vinaongezeka ila sio sana(vinaongezeka taratibu sana kiasi kwamba huwezi gundua kama vinaongezeka).
Kwa kweli haviumi mara kwa mara wala kuniletea ila kuna muda mara chahe sana huwa nasikia vimaumivu kidogo kama vile vinavuta kisha maumivu hupotea.niliwahi kwenda hospital pale Kairuki wakaniambia huwa hutokea kwa baadhi ya watu kitu wanachoweza kufanya ni kuviondoa kwa njia ya operation lakini doctor akanishauri nisifanye niache hivyo hivyo kwa kuwa havina madhara.
Pia kuna kipindi huwa nina ejaculate manii yenye rangi ya Njano-sasa nahisi labda husababishwa na hivyo vikorodani.
Naombeni msaada wenu Jamani,Hii hali ya kuwa na Vikorodani vidogo husababishwa na nini??? na nini tiba yake??
Pia hii hali kwa muda fulani ku ejaculate manii yenye rangi kama ya njano nalo husababishwa na nini?