Acha upumbavu bana if u know nothing potezea na si kuleta maskhara wakati mtu anatatizo na anaomba msaada.Itakuwa ina tatizo la kiharusi kilichochanganyika na utapiamlo kutokana na kung'atwa na mbu wakati ipo bandarini. Jaribu kuiosha na mkojo wa sisimizi
<br />Mkuu nakushauri kabla huja-attempt ku-repair OS yako jaribu kufanya yafuatayo: ifungue hard drive ya lap top yako tafuta/nunua adapter/interface ya kukuwezesha kuifunga kwenye computer nyingine kama external hard drive, ukisha kamilisha hilo basi u-scan lap top drive yako for virus na ikiwezekana u-copy mafaili yako muhimu kwenye folder utakayo kumbuka ndani ya computer inayo tumika ku-scan. Ukisha kamilisha hilo ifungue na kuifunga kwenye lap top yako na ku-boot, hilo likishindikana basi tafuta CD ya OS yako na kufanya ku-restall upya, huwezi kufanya repair kama hujuhi tatizo liltokana na mafaili yepi ambayo yanaweza kuwa repaired unless computer yako ikikueleza in advance kwamba mafaili fulani yana-miss au corrupted hapo ndiyo unaweza kuwa na huakika lipi la ku-repair.
Mkuu nakushauri kabla huja-attempt ku-repair OS yako jaribu kufanya yafuatayo: ifungue hard drive ya lap top yako tafuta/nunua adapter/interface ya kukuwezesha kuifunga kwenye computer nyingine kama external hard drive, ukisha kamilisha hilo basi u-scan lap top drive yako for virus na ikiwezekana u-copy mafaili yako muhimu kwenye folder utakayo kumbuka ndani ya computer inayo tumika ku-scan. Ukisha kamilisha hilo ifungue na kuifunga kwenye lap top yako na ku-boot, hilo likishindikana basi tafuta CD ya OS yako na kufanya ku-restall upya, huwezi kufanya repair kama hujuhi tatizo liltokana na mafaili yepi ambayo yanaweza kuwa repaired unless computer yako ikikueleza in advance kwamba mafaili fulani yana-miss au corrupted hapo ndiyo unaweza kuwa na huakika lipi la ku-repair.