Nina tabia ya kukinai wanawake ninaokuwa nao katika mahusiano

Wewe kama mimi tu..
Habari wakuu?
Sijui nina tatizo gani aisee,yaani nina tabia ya kukinai kila mwanamke ninaekuwa nae katika mahusiano bila sababu yeyote.

Mfano kuna binti mrembo tu nilitumia nguvu zangu nyingi kumfukuzia,alivyoingia king tu,nikakaa nae kwenye mahusiano kama two weeks hivi nikaanza kumuona wa kawaida sana na automatically mapenzi yangu kwake yakaanza kupungua na nimeshampotezea tayari mpaka sasa.\

kuna ambae amewahi kuexperiance situation kama hii yangu wakuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanin wanaume wenzangu mna matatizo madogo madogo mi nina makubwa makubwa! Anyway, nakushaur usimwone mwanamke yoyote si wa kawaida. Usipanie au kufanya ligi katika ngono bali urafik ndo muhim. Usijisemee akilin hustahili kumpata x na hivyo ukahesab ni bahat au ushindi ukimpata. Mi tatzo lang ambae sijasex nae hanaga thaman au maana sana mana sina deni dhid yake. Hii dunia kuna na wanaokupanga wakitaka urafik usife au wakupige tu charges! Anayenipa ni wa thaman sana mana kanikubali najihis deni la kumdhihirishia hakukosea kuamua. Lakin kubwa zaid naenjoy mpenz ambae mi sio address yake, mi napewa tu ka offer au side chick. Sipend neno YAN WANAWAKE WA SIKU HIZ... MPENZI WAKE RWAZI ANAVULIWA CHUPI OVYO NA MAFWERE DALALI
 
Habari wakuu?
Sijui nina tatizo gani aisee,yaani nina tabia ya kukinai kila mwanamke ninaekuwa nae katika mahusiano bila sababu yeyote.

Mfano kuna binti mrembo tu nilitumia nguvu zangu nyingi kumfukuzia,alivyoingia king tu,nikakaa nae kwenye mahusiano kama two weeks hivi nikaanza kumuona wa kawaida sana na automatically mapenzi yangu kwake yakaanza kupungua na nimeshampotezea tayari mpaka sasa.\

kuna ambae amewahi kuexperiance situation kama hii yangu wakuu?
yan kama umeniandikia jambo ambal lilinisumbua kwa mda hapo kwenye wik mbil yan nam ndo hvyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo siku tu utampata ambaye hutomkinai.nimepitia hii situation kwa muda mrefu sana tangu nipo kidato cha pili mpk nimemaliza chuo kikuu sijawahi kumpata manzi ambaye navutiwa nae baada ya kumgegeda.Hatimaye nimeangukia kwa manzi moja ya kawaida sana ambaye niko nayo kwa mwaka sasa hakika namuelewa huyu binti the same na yy ananielewa pia.japo ukweli mm nahisi namuelewa sana ila sitaki kumuonesha kiundani sana kuwa namuelewa inabaki kuwa siri yangu.na ninatarajia kumuoa kabisa mwaka huu kwahiyo ni kawaida mzee ipo siku utapata wa kutokumkinai vuta subira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu?
Sijui nina tatizo gani aisee,yaani nina tabia ya kukinai kila mwanamke ninaekuwa nae katika mahusiano bila sababu yeyote.

Mfano kuna binti mrembo tu nilitumia nguvu zangu nyingi kumfukuzia,alivyoingia king tu,nikakaa nae kwenye mahusiano kama two weeks hivi nikaanza kumuona wa kawaida sana na automatically mapenzi yangu kwake yakaanza kupungua na nimeshampotezea tayari mpaka sasa.\

kuna ambae amewahi kuexperiance situation kama hii yangu wakuu?
Pepo la ngono hilo
 
Unapofukuzia kama ulivyodai, nia ni ngono tu au unajenga urafiki wa muda mrefu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wengi hyo Hali huwa inatupata,ila kwa ustarabu na utu pia inatakiwa hyo Hali kuikemea kwa nguvu zote isikuzid
 
Na ndio maana thamani ya mwanamke inakuwa juu pale anapokuwa mgumu kutoa papuchi....kwani wanaume tulio wengi tuna tabia hiyo ya kukinai pindi tu tukipewa mapenzi....na kuanza kutafuta nyingine mpya!
 
Habari wakuu?
Sijui nina tatizo gani aisee,yaani nina tabia ya kukinai kila mwanamke ninaekuwa nae katika mahusiano bila sababu yeyote.

Mfano kuna binti mrembo tu nilitumia nguvu zangu nyingi kumfukuzia,alivyoingia king tu,nikakaa nae kwenye mahusiano kama two weeks hivi nikaanza kumuona wa kawaida sana na automatically mapenzi yangu kwake yakaanza kupungua na nimeshampotezea tayari mpaka sasa.\

kuna ambae amewahi kuexperiance situation kama hii yangu wakuu?
KIkubwa ni uvumilovi tu dogo watu tumeowa kwa sababu ya kuwa mvumilivu husipokuwa kuwa mvumilivu hutaowa
 
Habari wakuu?
Sijui nina tatizo gani aisee,yaani nina tabia ya kukinai kila mwanamke ninaekuwa nae katika mahusiano bila sababu yeyote.

Mfano kuna binti mrembo tu nilitumia nguvu zangu nyingi kumfukuzia,alivyoingia king tu,nikakaa nae kwenye mahusiano kama two weeks hivi nikaanza kumuona wa kawaida sana na automatically mapenzi yangu kwake yakaanza kupungua na nimeshampotezea tayari mpaka sasa.\

kuna ambae amewahi kuexperiance situation kama hii yangu wakuu?
Tatizo lako ni mojawapo ya tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kisaikolojia ,maana kubadili wanawake kwako ni kama Viagra ya kupata stemu ya sex ,vinginevyo stimu inashuka day to day ukiwa na msichana mmoja ili tatizo watu wengi awalijui kuwa ni tatizo bali wanadhani ndiyo ulijali kumbe wanatatizo la nguvu za kiume kwa upande huu .matatizo ya nguvu za kiume ni mengi sana na sababu zake ni nyingi sana tena sana ila cha kusikitisha wengi huwa tunajidumbukiza kwenye hizo sababu bila kujua mfano kufanya sex ya bao moja na kusepa au kulipia bao moja au mabao mawili inasababisha mwili kuzoea sex za kukatakata, ni kama kudumia dozi ya dawa vibaya ,badala ya kumeza vidonge 8 kwa siku wewe unameza 4 au badala ya kukamilisha dozi wewe ukiona umepona unakatisha kitendo hicho kinasababisha madhara ya kiafya ,hivyo ukiwa na mwanamke hakakupa sharti la bao moja tu ,jiepushe na sex za aina hiyo zisizo kuwa full dozi
Dozi kamili ya sex ni kuwa na mwanamke ukiwa comfortable na sichini ya masaa 4 mchana(day) na ikiwa usiku 12 hours yaani kulala na msichana usiku kucha ili kuwa comfortable, siyo kusex kwa kutizama kulia na kushoto hakuna MTU unaingiza unamwaga na kuchomoa utajimaliza

Send by APOLO 1
 
Halaf utasikia oooh huyo dem mbaya sio mtamu kumbe watu mna mental health problem
 
Bora wewe unakinai,mimi nikilala nae sirudii tena hata awaje,hii Hali inaniathiri hadi nyumbn kupitisha mwezi au zaidi sijapaona ni kawaida
 
Back
Top Bottom