Nina sifa kupata kazi serikalini lakini sijawahi kuitwa kwenye usaili

Ndege Tausi

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
992
472
Niliwahi kufanya kazi halmashauri lakini nikaondoka bila kuaga. Sasa natamani kurudi serikalini lakini kila nikiomba siitwi. Hivi tatizo hapa ni nini au jina langu bado linasoma kwenye kompyuta za utumishi?

Naombeni msaada jamani.
 
Niliwahi kufanya kazi halmashauri lakini nikaondoka bila kuaga. Sasa natamani kurudi serikalini lakini kila nikiomba siitwi. Hivi tatizo hapa ni nini au jina langu bado linasoma kwenye kompyuta za utumishi? Naombeni msaada jamani.

Jaribu kurudi kule ulipokuwa unafanya kazi mwanzoni kwa ufafanuzi zaidi.
 
Kumbe ulijiroga mwenyewe
 
Ahaa ulichoma meli wakati hujaanda life boat, sasa unarudi nyuma na ukipata unaanza na mshahara dalaja la chini.
 
Jaribu kurudi kule ulipokuwa unafanya kazi mwanzoni kwa ufafanuzi zaidi.

Naunga mkono hoja. Wao ndio watakupa maelezo. Au kama ulifanya ualifu huko, mtafute rafiki yako uliewahi kua nae hao then akupelelezee.
 
Back
Top Bottom