Ndege Tausi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 992
- 472
Niliwahi kufanya kazi halmashauri lakini nikaondoka bila kuaga. Sasa natamani kurudi serikalini lakini kila nikiomba siitwi. Hivi tatizo hapa ni nini au jina langu bado linasoma kwenye kompyuta za utumishi?
Naombeni msaada jamani.
Naombeni msaada jamani.