Nina shida ya mawe kwenye nyongo

pharao

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
379
639
Habari, nina shida ya mawe kwenye Nyongo. Nimejaribu kumuona Daktari anashauri nifanyiwe operation ya kutolewa nyongo yote.

So naombeni ushauri waliowahi kupitia hayo mambo huwa wanaishi kwa muda kweli?

Ni changamoto gani nitakutana nazo baada ya operation. Je kuna aina ya tiba mbadala ninayoweza kuifanya ikanisaidia kabisa?
 
Je hakuna dawa mbadala wa operation? Ningependa kufahamu maana nina ndugu yangu wa karibu anasumbuliwa na huo ugonjwa
 
Habari, nina shida ya mawe kwenye Nyongo. Nimejaribu kumuona Daktari anashauri nifanyiwe operation ya kutolewa nyongo yote.

So naombeni ushauri waliowahi kupitia hayo mambo huwa wanaishi kwa muda kweli?

Ni changamoto gani nitakutana nazo baada ya operation. Je kuna aina ya tiba mbadala ninayoweza kuifanya ikanisaidia kabisa?
Hayo mawe yanaingiaga vipi kwenye nyongo?
 
Mkuu pharao vipi ulipata solution ya hilo tatizo?! Kama ndiyo, naomba unijuze manake nami mtoto wa sister ana hilo tatizo, na mbaya zaidi ana kisukari kwahiyo wanasema operesheni itakuwa vigumu
 
Habari, nina shida ya mawe kwenye Nyongo. Nimejaribu kumuona Daktari anashauri nifanyiwe operation ya kutolewa nyongo yote.

So naombeni ushauri waliowahi kupitia hayo mambo huwa wanaishi kwa muda kweli?

Ni changamoto gani nitakutana nazo baada ya operation. Je kuna aina ya tiba mbadala ninayoweza kuifanya ikanisaidia kabisa?
Mkuu pole kwa maradhi yako kama bado hujapona dawa ipo nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako uguwa pole.
 
Mkuu pharao vipi ulipata solution ya hilo tatizo?! Kama ndiyo, naomba unijuze manake nami mtoto wa sister ana hilo tatizo, na mbaya zaidi ana kisukari kwahiyo wanasema operesheni itakuwa vigumu

Sorry huyu Mtoto ana miaka mingapi mkuu
 
Back
Top Bottom